Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

Ulichoandika hapo unakielewa au na wewe wanakuita 'mataga' ahahaaaa

Unataka kusema hakuna mfalme/chief mwanamke duniani?
 
Yesu alianza kuitwa mungu hivi hivi...Hadi Leo watu wanamuabudu mtoto wa mariyamu aliyekatwa govi siku ya nane baada ya kuzaliwa,Imani ile wanapenda Sana mazingaombwe
Kaa kutulia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mfalme ni mwanaume,mwanamke ni malkia
Ilikuwa zamani hivi sasa ni digital generation kila kitu juu/chini, juzi hapo si mmemvika ufalme na mkuu wa machief wote Tanzania how today?.
 
Ilikuwa zamani hivi sasa ni digital generation kila kitu juu/chini, juzi hapo si mmemvika ufalme na mkuu wa machief wote Tanzania how today?.
Msamiati wa kiswahili ubadilike!!?...uchifu siyo neno la kiswahili,chief ni mtemi
 
Kufunga kanisa la zumarid ni kumuonea mbona kanisa la freemason la Posta dar na matawi yake mikoani wao wanaendelea.

Mbona waganga wa kienyeji wao wanaendelea, makanisa mengi ya Kikristo ni makanisa ya shetani ukifunuliwa.

Waache magugu na ngano vimee. Mtu anaruhusiwa kuwa mfuasi wa chochote, kuna watu wanafanya matambiko, wanaabudu mizimu mbona awazuiliwi.
 
Huu ujasiri wake autumie kufanya biashara halali atapiga pesa ndefu kama hizi anazowapiga waumini.
 
Daah, duniani kuna mambo aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna yule muimbaji wake alimvalisha roho ya michael jackson, eti na yeye akaanza kutetemeka hahaha
Niliona hiyo clip anasema "Haya Michael ingia apo" nilichekeka kis*ng*[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Posta lile sio kanisa ni Ukumbi wa mikutano alafu freemason sio dini ni society![emoji28][emoji28]

Sababu zimewekwa hapo wazi ni pamoja na kukiuka sheria za usajili.
 
Huu ujasiri wake autumie kufanya biashara halali atapiga pesa ndefu kama hizi anazowapiga waumini.
Ujasiri tu! mbona karibu kila mfanya biashara anao lakini hawana mafanikio, lazima ale vichwa[emoji28][emoji28]
 
Posta lile sio kanisa ni Ukumbi wa mikutano alafu freemason sio dini ni society![emoji28][emoji28]

Sababu zimewekwa hapo wazi ni pamoja na kukiuka sheria za usajili.
Ni society kwa mtazamo wa nje,wa ndani wanaunganishwa na imani moja.
Nani anewasajili waganga wa kienyeji.
 
Huyu mama ana nguvu ya ushawishi na kipawa cha kuongea hivi ukiwa navyo mjini labda tu uamue kumuogopa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…