Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

Sijaona kosa la Mfalme Zumaridi, yeye na yule ambae waumini wake wanamuita 'Yesu' huku wakishangilia hadi Ubunge kapewa au yule anayemwaga mafuta akiyaita ya Upako watu wanakanyagana hadi kufa wanatofauti gani???

#Free Mfalme Zumaridi
 
Sijaona kosa la Mfalme Zumaridi, yeye na yule ambae waumini wake wanamuita 'Yesu' huku wakishangilia hadi Ubunge kapewa au yule anayemwaga mafuta akiyaita ya Upako watu wanakanyagana hadi kufa wanatofauti gani???

#Free Mfalme Zumaridi
Sidhani kama amezuiliwa bado.

Hana kosa kiimani japo Mimi siyo shabiki wake.Cha msingi asajili kanisa aendelee kuvuna.
 
Mfalme amebarikiwa neeema za haja, anajua kulisakata sebene. Vipi ana mume?
 
Nasikia ni mtoto wa mganga/mchawi ana nguvu za giza.
 
Juzi nilienda mumzomea na kumcheka muhumini mtiifu wa zumaridi nikamuuliza mfalme wako kashatoka selo? Ajajibu wamembambikiza kesi.

Akaniambia zumaridi ni mungu nilichoka sana, nikamwambia kama ni mungu si ajitowe selo tuone😂 akaanza kulia, kweli huyu mfalme karoga watu vibaya.
 
Taifa limejaa wajinga hili ,sina hakika kama na mataifa mengine wapo wajinga kwakiwango hiki cha Tanzania
 
Ukosefu wa ajira pia inachangia matapeli kuongezeka hili pia litazamwe
 
Zumarid alidai mwaka jana atamrejesha Kanumba hadi alimualika mama Kanumba kanisani kwake. Kanumba yupo jela ya ulimwengu usioonekana kwa kukiuka masharti, zumarid atawezaje kumtoa kumtoa jela.
 
Hii siyo habari ni kataarifa tu wala usitiambie ndo tumemjua zaidi kupitia vimaneno vichache vya Millard Ayo.
Baba yake nani?
Mama yake ni nani?
Alisoma wapi hata hiyo kidogo?
Ana watoto wangapi?
Amezaa na nani?
Nk. Nk. Nk.
Siyo hii rasha rasha unayotudanganya tumjue kiundani.
 
Amekurupuka kbsa na kautafiti chake cha kuokota ukota mtandaoni huku na kule na kukimbia kwa speed kuja kuleta uzi huku

Bado Sana ajamchimba huu zumaridi kwa 50%
 
Waumuni wake ni kama wafuasi wa Forever Living..
 
mambo gani? Niliwah ona clip yake moja anaingia kanisani kwa kugalagala aiseee
 
Hivi hana bwana huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…