Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

Mkuu Ungeandika wajue wamiliki wa wasafi na sio mmiliki, Tambua kampuni kisheria na wamiliki ni vitu viwili tofauti, hapo kusaga anaingiaje?, Pili hoja yako ya umiliki wa asilimia haina mashiko wala uhusiano na kusaga. Tambua hata jeff bezos ni mmiliki na muanzilishi wa amazon na anamiliki 10% ya amazon.
 
Mtoa mada ana wivu
 
Yaan watu wanapanic hovyo hovyo kisa tu Mond kutokuwa mmiliki wa hiyo wasafi aisee Mbona kawaida tu asante mtoa mada kwa kutujuzaa mana hata me nlkuwa najua ya Mond.
duuh halafu hii ni I'd ya Kwanzaa niliyokutana nayo miaka 5 iliyopita nilipojiunga



Twende kwenye Mada watu wanapanick sababu huu uzi kauleta kishabiki Sana

Sasa kusaga anahusika vipi hadi amtaje si aseme juhyna tu Kama inavyoonekana

Chengine anafurahi mond kutokuwa na share holder kubwa .ila hajui Kama wamiliki ni watatu hajui Kama shareholders zinaweza kununuliwa, zinaweza ongezeka, zinawezapungua



Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 

Miaka mitano ilopitaa nlkuwa nashinda Sana Jf
 
Irrelevant answers contrally to my question
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…