Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

Kwahiyo umekubali kwasasa sio major shareholder?

#YNWA
 
Mark ana miliki 25% na ndio high share percent
Ila mond sio majority shareholder then hana major rights.

Kuhusu brand inahitaji kuthibitishwa maana the major shareholder holds major rights of the company.

#YNWA
Hivi pale Mondi akitoa Wasafi unazani kuna redio tena,Kumbuka David Mosha ana hela nyingi lkn redio ilimshinda kuendesha.

Pale hata Kusaga akijiondoa ni uhakika,kuna watu kibao wataweka hela Wasafi,brand ya Wasafi inajulikana hutumii nguvu kuipromoti na ndicho alicho kosa David.

Nyie zungukeni lkn Diamond hajasoma ila ni mzuri sana ktk kuwatumia wanasheria na nina uhakika kabla hajafanya haya maamuzi tayari alisha shauriwa na wataalam wa uchumi na sheria.Dogo anajua anacho kifanya,kwa age yake na ile 45% bonge la bingo na redio kila siku inakua.

Ila hii JF kila mtu anajua,hamna asiyejua si shangai.........ndio JF yetu yaani huku dunia nyingine.
 
Click to expand...
Kwahiyo umekubali kwasasa sio major shareholder?

#YNWA
 
Asante kwa kuleta ushahidi huu mezani mkuu maana vijana wa siku hizi wana ushabiki maandazi sijapata kuona. Nadhani sasa kila kitu kimekaa sawa. Ngoja wabishi na matomaso waendelee kubisha.
 
ni ujinga kujaribu mshusha daimond ama kumdharau..Dogo akili nyingi..ontop of that yeye pale ni managing director so ana influence uendeshaji wa kampuni wa kila siku,pia ameshika asilimia kubwa sana ya matangazo refer kila Tangazo la pepsi lazima awe main actor ..ile ni nje ya yeye kuashareholder na MD ..sijui kwanini dogo anashupa mishipa ya shingo.
 
Ila sio MAJOR SHARE HOLDER?

#YNWA
Sio Major ila 45% si haba,watu wanangalia kutengeneza hela na si mashindano ya nani ni major shareholder wangekuwa na akili kama zako leo,Wasafi media isingekuwepo.

Sasa wewe una brand kubwa imekaakaa tu mtu anakuja na hela zake anasema nataka kuwekeza ktk brand yako,kuhusu umiliki wewe utakuwa 45% na yy 53% ,mnaingia mikataba kisheria hivi utakataa? au ndio utang'ang'ania kuwa MAJOR SHAREHOLDER?
 
Majority share holder has a major voting right and holds most of the facts.

#YNWA
Okay...I got you

If an individual owns 51% of the shares, then have controlling ownership, since no matter how everyone else votes, their vote of 51% of the shares will always win
 
Mleta uzi acha kujificha kwenye elimu ya marketing


Kwanza lazima ujue kwenye soko la hisa 43% sio ndogo kiasi cha kusema Nasib Abdul sio mmiliki wa wasafi media


Pili: Wasafi ni brand ya Diamond Platnumz toka 2010 ko wasafi media ni jina lipo chin ya Nasib hili Kila mtu analijua hata kama hajasomea hio marketing


Tatu: Wasafi media jua kabisa inaeza kwenda kwa sababu Diamond is there ila haiwez kwenda sababu Johaina Kusaga yupo pale since hata kwa haraka haraka Kila mtu anajua kua Diamond ndio sura ya kampuni



NNE: ukishindwa kuelewa hizo hoja 3 hapo juu ntakuletea zingine na uache kuona kusoma kwako marketing bas watu hawaelew
 
Upo sahihi mzee
 
Mkuu tunausbiri data za mmiliki mkuu wa Mkia FC je ni mropokaji anayetumia muda mwingi kuwaza jinsi ya kuropoka kesho yaani ndugu Minara au ni yule muuza juisi ,sijui kila mmoja ana asilimia ngapi,ila nimeambiwa na wadaku kuwa Minara anamiliki sauti yake tu.
 
Mwana Liverpool mwenzangu ka lugha kapo kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…