Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu nani aliye kudanganya kuwa mkwawa alijinyonga??
na kwa taarifa yako mkwawa hakujinyonga na lile fuvu la kichwa ni kanya boya tuu.soon nitakupa story kamili stay tuned.
Wote tunatambua ushujaa wa mtemi mkwawa dhidi ya mkoloni mjerumani,mjerumani alipigwa round ya kwanza na mbabe mkwawa akakimbia na kwenda kujipanga tena .
Aliporudi for second round zikapigwa tena ila kidume mkwawa haligoma kushikwa na mjerumani na kwa ujasiri wa ajabu akahamua kujiua. ukiachana na wahehe hakuna kabila lolote ambalo limeweza kuonesha ushujaa kama wa wahehe.
Na ndio maana mzungu alichukua fuvu la mbabe mkwawa na kuondoka nalo hili kulichunguza zaidi kuhusiana na ushujaa wa huyu kidume. wahehe ni mashujaa sana hata sasa hivi wapo hivyo hivyo tofauti na makabila mengine.
Ni kweli mkuu... kujinyonga inahitaji ujasiri sana....
Embu jaribu kujikaba kidogo tu,utamuelewa mtoa madam.kumbe kujinyonga ni ushujaa mimi nilifikiri ni ujinga.
Kujinyonga ni zaidi ya ushujaa aisee.Aliyekudanganya kujinyonga ni ushujaa ni nani?
.......nakutakia kila la kheri kupata ushujaa huo kakaKujinyonga ni zaidi ya ushujaa aisee.