Wote tunatambua ushujaa wa mtemi mkwawa dhidi ya mkoloni mjerumani,mjerumani alipigwa round ya kwanza na mbabe mkwawa akakimbia na kwenda kujipanga tena .
Aliporudi for second round zikapigwa tena ila kidume mkwawa haligoma kushikwa na mjerumani na kwa ujasiri wa ajabu akahamua kujiua. ukiachana na wahehe hakuna kabila lolote ambalo limeweza kuonesha ushujaa kama wa wahehe.
Na ndio maana mzungu alichukua fuvu la mbabe mkwawa na kuondoka nalo hili kulichunguza zaidi kuhusiana na ushujaa wa huyu kidume. wahehe ni mashujaa sana hata sasa hivi wapo hivyo hivyo tofauti na makabila mengine.