Sina Ndugu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2024
- 378
- 604
Uzi mzuri lakini hapo mwishoni ndio umeharibu [Vocha Tena]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni maraNyerere alizaliwa Tabora?
😂sureUzi mzuri lakini hapo mwishoni ndio umeharibu [Vocha Tena]
💯Kuna mengi yanatakiwa kuandikwa vizuri toka Tanganyika imepata uhuru mpka mapinduzi ya Zanzibar na Hadi Muungano.
Maana vitu vingi hapo ni kama vinafichwafichwa.
Sababu zile za shule ya msingi.
Eti Kulikuwa na muingiliano mkubwa kati ya Zanzibar na Tanganyika.
Zilishapitwa na Wakati.