Mjue Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa undani

Kuna mengi yanatakiwa kuandikwa vizuri toka Tanganyika imepata uhuru mpka mapinduzi ya Zanzibar na Hadi Muungano.

Maana vitu vingi hapo ni kama vinafichwafichwa.

Sababu zile za shule ya msingi.
Eti Kulikuwa na muingiliano mkubwa kati ya Zanzibar na Tanganyika.

Zilishapitwa na Wakati.
 
💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…