Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Aisee...! I wonder if you are joking but hata mimi seriously nilidhani tajiri jingine la kihindi limetajwa hapoNilikua jina la mtu mwingine mwenye pesa baada ya kugoogle na kumkosa ndio nikajua unamaanisha "kuna biashara haram"
Yah kama sijakosea niliona ka clip Fulani mjengo wake upo Mumbai uko vizuri huko Mumbai aisee...ngoja tupambane huko duniani tuishi vizuri na baraka za mungu ziwe juu yetuHuko India wenzetu wamenoga kuna yule mjamaa wanamuita Mukesh Ambani nae sio poa.
Yap Mukesh Ambani ndo tajiri no one india na Bara Asia.Huko India wenzetu wamenoga kuna yule mjamaa wanamuita Mukesh Ambani nae sio poa.
Tata yeye anatoa 65% ya mapato yake kwny CSR,jamaa angekua anakunja hio 100% yote unadhani angekua wapi?Umekopi sehemu au umeifanya Research?
Hata kumfikia Mukesh Ambani bado ,Ndo awe tajiri zaidi ya Jb,E musk,Na bill gates.
Una utani mkuu
[emoji1787]Alam za cm zetu hz...au ulitaka kusema haramu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari za tajiri muulize maskini.
Hii taarifa itakuwa ilitoka katika kiwanda maarufu chakuchakata uongo kinachopatikana Bongo land mkuu! 😀Mbona tulivyokuwa wadogo kulikuwa na uvumi kuwa TATA ni ya nyerere na kwa lugha yao ya kizanaki hilo neno maana yake baba
Nilijua jina, nimekuja kuzindukia kwenye post yakoNilikua jina la mtu mwingine mwenye pesa baada ya kugoogle na kumkosa ndio nikajua unamaanisha "kuna biashara haram"
Habari za tajiri muulize maskini.
Yani huwa najiuliza huyu MO utajiri wake ni UPI hasa,ukiangalia products zake kwa hapa Tanzania katika watu 10 utakuta ni MTU 1 ndio anaijua au kuitumia still wanatuambia ndio tajiri Tz??????Unakwama sana mzazi..
Forbes hadi uwaite wakufanyie tathmini and btw hao unaowasikia ni peanut ya matajir wa dunia..
Kuna wauza unga na silaha na wenye federal reserve bank... kina Murdoch
Kuna wenye research companies na pharmaceuticals industries.. hao hutowasikia..
We utawajua kina mo na vimbelembele wengine tu
Make your money bro