Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Naungana na mleta Mada, na kama kuna mtu anabishaa aende Google, andika " the black pope" afu utaona nn kitatoke.
 
mkuu sio kwasababu ni msabath no ni kwasababu kasema ukweli na kama unaona ni uongo njoo na facts za ku criticize[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hizo stori za aina hiyo ukiingia google utazikuta nyingi sana. Ukweli kidogo chumvi nyingii.

Wewe unaamini benki zote Duniani zipo chini ya ya Jesuit? Unaamini hizo Freemason na Jesuit wana nguvu hizo za "Kimungu" mnazowapa?

Mnachosahau ni kuwa Wenzetu wamejenga Taasisi zao kama Jesuit kwa mamia ya miaka, kwa akili na bidii sana, ninyi mkiziona leo mnafikiri ni muujiza wa shetani.

Kwa mfano Catholic imepitia vipindi vingi vigumu kama kumeguka wengine na kuanzisha Ulutheri na Uanglikana. Kama Jesuit wangekuwa na uwezo wa Kimungu mnaowapa pengine wangezuia hilo lisitokee.

Kwa Waafrika jambo lolote likifanyika kwa umahiri na akili nyingi lazima tuwe mashaka (ugunduzi wa kisayansi, mafanikio a makampuni makubwa, mafanikio, ya Mtu mmoja mmoja nk) , tutaita uchawi ingawa siku hizi tunaita freemason nk
 
so unataka kusema ni uongo au[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Mh hi mitandoa iloyoandika hizi habari si wazungu hao hao. Kuwatuhumu waaafrika na kutudhalilisha waafrika si haki. Tutafute njia mbadala ya kupinga na kujenga hoja
 
Naam! Ulimwengu wa mashetani.Ni wachache mno watakaonusurika.Mitandao ya kijamii,muziki,siasa,filamu na tamthilia na mpira wa miguu na NYAVU zilizokusanya wengi kumiminwa kwenye gunia la SHETANI.Hao ndio wanachama wa shetani.
Wewe ni mwanachama wa shetani tangu lini..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…