Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

ha ha...
kama ndo hivyo basi huyo mungu hana chake..!!

kama roma ndo wanafanya hayo yote basi hata biblia nazani ni mpango wao,ila sasa wanataka kututoa stage fulani kwenda stage nyengine.
Vipi sasa kwa mungu anaehubiriwa kila siku na hili analifumbia macho..?
Ama anapenda kuona matukio haya wakati anauwezo wa kusaidia..?
Sijui yupo wapi labda kakaa kama observant.
 
umesoma uko Google ukaamini ukaja kutuletea uku jf.....ayo ni mawazo ya mtuuu mkuuu ni ngumu kuyaamini
 
Wachache watakuelewa..nini unamaanisha...ila its my prayer watu wakuelewe unamaanisha nini mkuu_coz una hoja nzito sana.
Mh!! Mi pia nimemwelewa aiseee!!!!
 
Nakubaliana na wewe mleta mada kwa upande mmoja.

Najumbuka uchaguzi wa Tanzania uliopita, nadhani hii nguvu ya "Papa mweusi" ilifanya kazi. Naimani Lowassa alushindwa sababu alikuwa mluteri japo ilionekana kuwa alikuwa na wafuasi wengi kumshinda yule wa upande mwingine ila tatizo Nathani alikuwa na msimamo unaopingana na huyo Papa mweusi.

Bila kusahau kuwa hakuna Rais wa nchi yeyote duniani atkayeshinda bila kupendekezwa na
 
Hapo. Kwenye kiapo hapo!!nimesoma tena Kwa sauti.!nimekuwa member?
 
Mmmh ila kaeni mkijua kuwa kuna Freemasons na Freemen,,ukiwa Freemason ni mjenzi huru kwa misingi ya kubomoa na utawala wa giza,na kama wewe ni freeman basi ni kwa misingi ya kuwa katika mwangaza na uhai usio na kikomo
 
Mada ya kuunga unga Sana hii.Huelewi unachoandika.
 
Hakuna lolote kama walishindwa kufanya dunia iwe under one gvt miaka ya 1700-1900 kipondi ambacho utandawazi haupo ,watu ni wachache,watu ni wajinga wataweza sasa hv kwenye kizazi hiki.

Mkuu,your logic makes sense lakini nikuambie tu ni kuwa,mipango hii haikuanza jana kutawala ulimwengu. Kwahio usikurupuke.

Hebu angalia kuhusu magonjwa,vyakula,nk. Sasa hvi hata Tanzania inataka kugeuka jangwa unadhani ni bahati mbaya?
Wanataka kuhakikisha kuwa watu wanapungua kwa kutumia chakula na magonjwa kawanza then vita. Oh yeah,vitu vingi vinaonekana ni normal sana aise
 
Back
Top Bottom