Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuwa serious kidogo Tz kuwa jangwa wao wanahusika kivip hapo? Kwani sio sisi watz wenyewe tunaokata miti kwa ajili ya mkaa na kuni? Sasa mvua itapatikanaje ilihali misitu tunavyeka? Jiografia ya form one inatosha kabisa kujua "rain formation"......mkuu hapo kwenye jangwa elaborate plzzzzzz!!
Google huwa haitoi reliable information kijana. It is a jungle of every think!Naungana na mleta Mada, na kama kuna mtu anabishaa aende Google, andika " the black pope" afu utaona nn kitatoke.
well said mkuu, mwandishi alikua too generalMhe. Benki sio jina bali ni Vigezo ie. financial muscles, otherwise hata village community banks (VICOBA:- navyo vingehusika) Mi nadhani mwandishi alikusudia kusema AAA rated Banks (Multinational Banks) ambazo almost bank zote duniani zina corresponding account zao huko (for world wide fund transfers etc) so indirectly "wanacontrol Mabenk yote"
Watu siku hizi ndo wamekua wajinga saana kwa sababu ya ugumu wa maishaHakuna lolote kama walishindwa kufanya dunia iwe under one gvt miaka ya 1700-1900 kipondi ambacho utandawazi haupo ,watu ni wachache,watu ni wajinga wataweza sasa hv kwenye kizazi hiki.
Shetani akiona Watu kama wewe anafurahi kwelikweli kwa sababu anatimiza azma yake kiulainiiHizo stori za aina hiyo ukiingia google utazikuta nyingi sana. Ukweli kidogo chumvi nyingii.
Wewe unaamini benki zote Duniani zipo chini ya ya Jesuit? Unaamini hizo Freemason na Jesuit wana nguvu hizo za "Kimungu" mnazowapa?
Mnachosahau ni kuwa Wenzetu wamejenga Taasisi zao kama Jesuit kwa mamia ya miaka, kwa akili na bidii sana, ninyi mkiziona leo mnafikiri ni muujiza wa shetani.
Kwa mfano Catholic imepitia vipindi vingi vigumu kama kumeguka wengine na kuanzisha Ulutheri na Uanglikana. Kama Jesuit wangekuwa na uwezo wa Kimungu mnaowapa pengine wangezuia hilo lisitokee.
Kwa Waafrika jambo lolote likifanyika kwa umahiri na akili nyingi lazima tuwe mashaka (ugunduzi wa kisayansi, mafanikio a makampuni makubwa, mafanikio, ya Mtu mmoja mmoja nk) , tutaita uchawi ingawa siku hizi tunaita freemason nk
Aliyekwambie mtoa mada ni msabato ni nani? Na ni lini wasabato walitabiri mwisho wa dunia? Uongo unakupa ushindi wa siku moja tu!Msabato bana mlitabiri mwisho wa dunia kama mnaujua kumbe nyie ndio tawi la freemasons
Acheni wivu na waroma wenyewe wapo kimya nyie mnaangaikaa
Safi sana mkuu..yan watu wawaelewi kinachoendelea juu ya mafanikio hayo makubwa ya taasis hizo kama JESUIT ...ukitaka kuelewa juu ya hayo mambo jaribu kuanzisha taasisi kubwa bila kutumia nguvu yao uone kama utafika mbalibau laaa....Shetani akiona Watu kama wewe anafurahi kwelikweli kwa sababu anatimiza azma yake kiulainii
Duuuuu jamaaa kakomalia lesson tu km huna hoja just chillingKwa hiyo lessoni ya jana yote mlijifunza huu upuuzi..??
Safi sana mkuu watakaosikia na wasikieN.W.O
1. NEW WORLD ORDER IN EDUCATION CONTROL
~Unaelezea au unasababisha watu wachache wasome na wengi wafeli au wasisome kabisa.
2. NEW WORLD ORDER POPULATION CONTROL.
~Ni mfumo wa kudhibiti ongezeko la watu duniani. Inatokea chanjo ya kupunguza watu japo sio chanjo zote ni mbaya bali zingine za lazima kwa ajili ya magonjwa. Dunia ina watu takribani bilioni 6.7.
~Mpango wa Freemason umepitisha ndoa za jinsia moja ili uzao usiwepo au usiongezeke.
~Pia utoaji mimba na madawa ya kudhibiti uzazi vimepewa kipaumbele.
~Vijana wadogo wakike kwa wakiume kuoa au kuolewa na watu waliowazidi umri mkubwa kitu ambacho kitu ambacho kijana mdogo hawezi kuzaa na bibi au babu kizee.
~Freemason wametengeneza mwanamke/mwanaume midoli kwa kukidhi haja ya tendo la ndoa.
3. NEW WORLD ORDER LABOUR CONTROL.
~Wachache wapate kazivna kuwatawala wengi wasio na kazi au ajira. Roboti ya kwanza kutengenezwa ilitengenezwa kwenye mikakati ya Freeason...
4. NEW WORLD ORDER HEALTH CONTROL.
~Freemason wametoa chanjo za lazima ambazo mpango wake ni kuzorotesha afya za watu duniani.
~Wameweka madawa ndani ya vyakula vya makopo...
~Vipodozi vingi vina kemikali hatarishi kwa ajili ya maisha ya binadamu...
5. NEW WORLD ORDER FORGOTTEN CONTROL.
~Hii inahusika na nguvu ya kiroho usahaulike au usahauliwe na usisikike kabisa.
6. NEW WORLD ORDER FAITH CONTROL.
~Nguvu itawalayo ya kusababisha imani moja. Ina husika na kupambana na imani mbalimbali ili kuziratibu iwe imani moja. Mfumo mmoja wa pesa kama EURO.
7. NEW WORLD ORDER FARMING CONTROL.
~Mkakati au mfumo wa ajabu ambao unafanya kazi nyuma ya mbegu na dawa ambazo huoteshwa na baadae husababisha ardhi kufa ambayo haitatoa mazao nyakati zijazo.
8. NEW WORLD ORDER GREAT ARMY CONTROL OF LOCUST.
~Hii ni jamii ya watu ambao wanafanyakazi kama jeshi lakini ni nzige wanaokula mali asili ya Taifa. Mfano Dowans,Richmond,n.k
*Mambo mengine kayesema vyema mleta mada mi nawasilisha niyajuayo!
Hii hata Bongo imeingia!!! Kuna mahindi ukinunua mbegu dukani ukapanda then yale utakayovuna ukija kutumia kama mbegu hayaoti!!!Safi sana mkuu watakaosikia na wasikie
Ila mkuu hapo kwenye mbegu ni mkakati mmoja mkali na mbaya sana. Na ndio utaua Watu wengi sana baadae kwa ajili ya njaa na idadi itapungua mara dufu
Unazungumziaje kuhusu kuanguka kwa European union na Freemason, unarelate vipi na NWO.Adolf nicholas....[emoji115] [emoji115]
Bila kusahau kuwa hakuna Rais wa nchi yeyote duniani atkayeshinda bila kupendekezwa na
Kuna hoja gani hapo ya kujadiliwa na mtu mwenye akili timamu..???Duuuuu jamaaa kakomalia lesson tu km huna hoja just chilling
Watu wengi .?? Na wewe upo miongoni watakao kufa..??Safi sana mkuu watakaosikia na wasikie
Ila mkuu hapo kwenye mbegu ni mkakati mmoja mkali na mbaya sana. Na ndio utaua Watu wengi sana baadae kwa ajili ya njaa na idadi itapungua mara dufu
Shetani anashindwa kwa wale tu waliomuamini M/Mungu;Mfalme wa mbinguni na ardhini na wakamtegemea yeye kwa kila jambo.Lakini wale WANAOKUFURU,shetani atawaendesha anavyotaka.Mwisho wa Siki lazima shetani ashindwe tu