Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Language iz simpl az u can complict it.bt i hope yu gat da message....simply bcoz we are in the world of violated principal and laws governing language,this y tunakijuta tunaandika in different styl but najua ulipata ujumbe...
Keep on understanding things hidden ..
Najua ipo siku mtaelewa tu..wenye uelewa washatia kwara ila wale wenye akili ngumu kama jiwe bado wapo wanabisha..najua hata darasan lazima ndez hawakosi..
Au cio ninja...[emoji4] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa nikipi ulichoandika kina ekeweka...?? Wewe mwenye umevurugwa ....Unaongelea hiki, kabla hakijaisha umedakia hiki...Vurugu tupu..

Tuliza munkari...Weka mada za lessoni vizuri ili tuzijadili...
 
ha ha...
kama ndo hivyo basi huyo mungu hana chake..!!

kama roma ndo wanafanya hayo yote basi hata biblia nazani ni mpango wao,ila sasa wanataka kututoa stage fulani kwenda stage nyengine.
Vipi sasa kwa mungu anaehubiriwa kila siku na hili analifumbia macho..?
Ama anapenda kuona matukio haya wakati anauwezo wa kusaidia..?
Baada ya kumuumba mwanadamu akampa akili amemwachia uhuru wa kuamua kuongoka au kupotea..
 
Mi mwenyewe niliandika mada jamii forum nikaipoteza nikagoogle kichwa cha habari nikaikuta sasa nashangaa unasema tuende googlewakati ni vitu watu walivyoandika huko ukigugo unavikuta tu
 
Ila mtoa mada alikuwa na mana nzuri xana kutufungua akili watu wengine...

Unakua jamii forum logo yake imeunganishwa moja kwa moja na googgle..kwa hiyo unapopost kitu moja kwa moja kinaingia google na ni tifaut na blog ..yan kwa mfano ukiandika kitu goggle halaf kama hiyo maada ukiyosearch ilishawah kujadiliwa itakupeleka moja kwa moja jamii forum..kama ni kitu kipya bas itakupa link ya orijonal data zake..
Kwa hiyo mi nafikir ni mawazo mazuri pia kuyangalia kama yana uhalisia au laa
 
Aliyekwambie mtoa mada ni msabato ni nani? Na ni lini wasabato walitabiri mwisho wa dunia? Uongo unakupa ushindi wa siku moja tu!
Aisee mtoa mada ni msabato kupitia alichoandika
Nawe historia ya usabato wako wamekuficha tafuta historia ya usabato utajua mlimfanyia mungu kazi yake
Au the day of great disappointment 22/10/1884 mmefichwa mkuu??!!
 
mmmh! wanamiliki benki zote! hata meru community bank na njombe community bank?



Watu wanapoongelea bank hawaongelei izo zenye madafu

Hapa zinaongelewa

HSBC
Barclays
FBME ( federal bank of middle East)
The standard bank
City bank


Sio hizo ambazo hata bakhresa tu anaweza akaziendesha yeye peke yake hata zikiwa 5 ivyo ni visaccos vya matajiri and not banks
 
ha ha...
kama ndo hivyo basi huyo mungu hana chake..!!

kama roma ndo wanafanya hayo yote basi hata biblia nazani ni mpango wao,ila sasa wanataka kututoa stage fulani kwenda stage nyengine.
Vipi sasa kwa mungu anaehubiriwa kila siku na hili analifumbia macho..?
Ama anapenda kuona matukio haya wakati anauwezo wa kusaidia..?


Mungu alishakupa akili timamu

Ni jukumu lako kutafuta ukweli unaposubiri mapokeo ndo utaingia kwenye huo mkumbo

Just go and read it's simple

Ukitaka kumficha mtu andika
 
Hakuna lolote kama walishindwa kufanya dunia iwe under one gvt miaka ya 1700-1900 kipondi ambacho utandawazi haupo ,watu ni wachache,watu ni wajinga wataweza sasa hv kwenye kizazi hiki.



Ndugu yangu econometrician dunia ya sasa ndo imejaa mazombi kila kona

Hapo tu bongo 95% ni mazombi ndo maana hata siku hizi unaona marioo wanaongezeka na wanaume wengi wanashindwa kuwato.mba wanawake inavyotakiwa
 
Acha uongo wewe , yesu angekuja kufanya nini kama aliwaacha wajiamulie wenyewe
Mungu ndie anamtafuta binadam
Kama Yesu kaja kuokoa mbona wanazidi kupotoka? Mbona binadamu anazidi kuangamia katika uovu? Mbona ushetani umeshikiliwa na kanisa? Hiyari Iko kwenye moyo wa mwanadamu baada ya kuwa ameshajua mabaya na mazuri.
 
Kama Yesu kaja kuokoa mbona wanazidi kupotoka? Mbona binadamu anazidi kuangamia katika uovu? Mbona ushetani umeshikiliwa na kanisa? Hiyari Iko kwenye moyo wa mwanadamu baada ya kuwa ameshajua mabaya na mazuri.
Kanisa sio shetani bali ushetani wa mtu ni mtu mwenyewe
 
Back
Top Bottom