TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Dhehebu lako la kikristo unaamini MSAAFU gani?Mwisho ni lini..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhehebu lako la kikristo unaamini MSAAFU gani?Mwisho ni lini..??
Mkuu naona umeongelea mapokeo...Kwani mapokeo ni kitu gani hasa...??Mungu alishakupa akili timamu
Ni jukumu lako kutafuta ukweli unaposubiri mapokeo ndo utaingia kwenye huo mkumbo
Just go and read it's simple
Ukitaka kumficha mtu andika
Shetani ameshikiliwa na kanisa kivipi..?? Yani hebu fafanua..?? Ni kanisa gani hilo..?? Unaweza tupa mifano jinsi hilo kanisa lilivyomshika huyo sheteni..?? Ni jibu tafadhaliKama Yesu kaja kuokoa mbona wanazidi kupotoka? Mbona binadamu anazidi kuangamia katika uovu? Mbona ushetani umeshikiliwa na kanisa? Hiyari Iko kwenye moyo wa mwanadamu baada ya kuwa ameshajua mabaya na mazuri.
Mkuu mbona swali langu lipo wazi..?? Nimekuulizs mwisho wa dunia ni lini..??Dhehebu lako la kikristo unaamini MSAAFU gani?
Wasabato mna kazi!Naungana na mleta Mada, na kama kuna mtu anabishaa aende Google, andika " the black pope" afu utaona nn kitatoke.
ha ha...
kama ndo hivyo basi huyo mungu hana chake..!!
kama roma ndo wanafanya hayo yote basi hata biblia nazani ni mpango wao,ila sasa wanataka kututoa stage fulani kwenda stage nyengine.
Vipi sasa kwa mungu anaehubiriwa kila siku na hili analifumbia macho..?
Ama anapenda kuona matukio haya wakati anauwezo wa kusaidia..?
Hizo stori za aina hiyo ukiingia google utazikuta nyingi sana. Ukweli kidogo chumvi nyingii.
Wewe unaamini benki zote Duniani zipo chini ya ya Jesuit? Unaamini hizo Freemason na Jesuit wana nguvu hizo za "Kimungu" mnazowapa?
Mnachosahau ni kuwa Wenzetu wamejenga Taasisi zao kama Jesuit kwa mamia ya miaka, kwa akili na bidii sana, ninyi mkiziona leo mnafikiri ni muujiza wa shetani.
Kwa mfano Catholic imepitia vipindi vingi vigumu kama kumeguka wengine na kuanzisha Ulutheri na Uanglikana. Kama Jesuit wangekuwa na uwezo wa Kimungu mnaowapa pengine wangezuia hilo lisitokee.
Kwa Waafrika jambo lolote likifanyika kwa umahiri na akili nyingi lazima tuwe mashaka (ugunduzi wa kisayansi, mafanikio a makampuni makubwa, mafanikio, ya Mtu mmoja mmoja nk) , tutaita uchawi ingawa siku hizi tunaita freemason nk
Iyo mgawanyiko wa anglikan na luthera n kutokana na hawajaama kugundua kuwa catholic liko chini ya himaya hiyo that why hawajamaa hawakuweza kutolerate situation nakuamua kutimka zao na kuunda makanisa yao yasio fungamana na ushetaniHizo stori za aina hiyo ukiingia google utazikuta nyingi sana. Ukweli kidogo chumvi nyingii.
Wewe unaamini benki zote Duniani zipo chini ya ya Jesuit? Unaamini hizo Freemason na Jesuit wana nguvu hizo za "Kimungu" mnazowapa?
Mnachosahau ni kuwa Wenzetu wamejenga Taasisi zao kama Jesuit kwa mamia ya miaka, kwa akili na bidii sana, ninyi mkiziona leo mnafikiri ni muujiza wa shetani.
Kwa mfano Catholic imepitia vipindi vingi vigumu kama kumeguka wengine na kuanzisha Ulutheri na Uanglikana. Kama Jesuit wangekuwa na uwezo wa Kimungu mnaowapa pengine wangezuia hilo lisitokee.
Kwa Waafrika jambo lolote likifanyika kwa umahiri na akili nyingi lazima tuwe mashaka (ugunduzi wa kisayansi, mafanikio a makampuni makubwa, mafanikio, ya Mtu mmoja mmoja nk) , tutaita uchawi ingawa siku hizi tunaita freemason nk
mkuu umesikia wapi hizi story hahahah dah kama hujui acha kutengeneza hivyo vitu unaweza kunisaidia kwanini angalikana walijitenga na lutheran pia?Iyo mgawanyiko wa anglikan na luthera n kutokana na hawajaama kugundua kuwa catholic liko chini ya himaya hiyo that why hawajamaa hawakuweza kutolerate situation nakuamua kutimka zao na kuunda makanisa yao yasio fungamana na ushetani
M/Mungu yupo na nguvu zake ni madhubuti kweli kweli,na uwezo mkubwa juu ya kila kitu,akitaka jambo litokee yeye hutamka tu hutokea.Usiwe na shaka na hilo.
Pili,mwanadamu yupo kwenye mtihani hapa duniani,na kaonywa kuhusu shetani kwamba ni adui yake,akimfuata atampeleka pabaya.Mgogoro umeibuka miongoni mwetu;wengine wameona shetani anawafaa kuwaendeshea mambo yao,wengine wanasema hayupo,wengine wanajitahidi kujihadhari nae.Hapa ndipo tatizo lilipo.M/Mungu ni mwenye hekima sana.Kwa fujo hizi,angeamua kuadhibu,ataadhibu na wasiokuwamo kwa hiyo ameamua kutoingilia 'mnyukano' wetu kwa kuwa muongozo katoa,mitume walikuja (sio hawa wa zama hizi),akili tumepewa.Kwa hiyo tupo kwenye mtihani,kuchagua batili au haki.
Illuminate are secret society, but the good thing is that Satan or Devil is not in the secret society. Satan is openly operating so everyone has the right to know which is of God (Jehova/Yahweh) or not. I plead to every great thinker to read the bible for it is full of knowledge and understanding. From the bible one will get to know demonic plans. For example;
1. The bible wants marital relations be of man and woman, the devil wants man to man
2. The bible wants marital sex to use male and female sex organs, the devil would entice people to use use anus instead
3. The bible want families to reproduce ans subdue the earth, Satan wants abortion, family planning, etc
4. The bible wants every mankind to follow Jesus, the devil wants mankind to be comfortable with their man made religions
Generally, every of God, Satan puts it a reverse. Currently even the the bible King James version, is re written as queen James.