Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mkuu,your logic makes sense lakini nikuambie tu ni kuwa,mipango hii haikuanza jana kutawala ulimwengu. Kwahio usikurupuke.

Hebu angalia kuhusu magonjwa,vyakula,nk. Sasa hvi hata Tanzania inataka kugeuka jangwa unadhani ni bahati mbaya?
Wanataka kuhakikisha kuwa watu wanapungua kwa kutumia chakula na magonjwa kawanza then vita. Oh yeah,vitu vingi vinaonekana ni normal sana aise
Kwa hiyo lessoni ya jana yote mlijifunza huu upuuzi..??
 
Nakubaliana na wewe mleta mada kwa upande mmoja.

Najumbuka uchaguzi wa Tanzania uliopita, nadhani hii nguvu ya "Papa mweusi" ilifanya kazi. Naimani Lowassa alushindwa sababu alikuwa mluteri japo ilionekana kuwa alikuwa na wafuasi wengi kumshinda yule wa upande mwingine ila tatizo Nathani alikuwa na msimamo unaopingana na huyo Papa mweusi.
Hata yule wa upande mwingine alitumia alama za hawa jamaa wakati wa kampeni.Chunguza kwa umakini.
 
Mkuu,your logic makes sense lakini nikuambie tu ni kuwa,mipango hii haikuanza jana kutawala ulimwengu. Kwahio usikurupuke.

Hebu angalia kuhusu magonjwa,vyakula,nk. Sasa hvi hata Tanzania inataka kugeuka jangwa unadhani ni bahati mbaya?
Wanataka kuhakikisha kuwa watu wanapungua kwa kutumia chakula na magonjwa kawanza then vita. Oh yeah,vitu vingi vinaonekana ni normal sana aise

hivi vitu unavyovisema ni kutokana na mabadiliko ya nyakati duniani nayo huchangiwa na vitu vingi ikiwepo population ya watu ,technologia,na shughuli za kiuchumi lakini sio hizo sababu kama ulizozisema hapo.sikatai kuna vingine vinatengenezwa kwa madhumuni bt si vyote kama ambavyo wanataka tuamini vichwani mwetu.
Pia sijawa kuona takwimu zozote hapa duniani kuwa watu wanapungua kadri miaka inavyo endelea bali kuongezeka-na kama ndivyo nini kinafanya watu kuongezeka??? ndio maana narudi kwenye hoja yangu ile ile hata wangetaka kupunguza population ya dunia ingewezekana kipindi kile sio sasa??
 
mkuu sio kwasababu ni msabath no ni kwasababu kasema ukweli na kama unaona ni uongo njoo na facts za ku criticize[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
We umejuaje kama kasema ukweli? Kwani kila kilichopo Google ni kina facts? Au umeamua kumuunga mkono mpendwa mwenzako!
 
mmmh! wanamiliki benki zote! hata meru community bank na njombe community bank?
Mhe. Benki sio jina bali ni Vigezo ie. financial muscles, otherwise hata village community banks (VICOBA:- navyo vingehusika) Mi nadhani mwandishi alikusudia kusema AAA rated Banks (Multinational Banks) ambazo almost bank zote duniani zina corresponding account zao huko (for world wide fund transfers etc) so indirectly "wanacontrol Mabenk yote"
 
We umejuaje kama kasema ukweli? Kwani kila kilichopo Google ni kina facts? Au umeamua kumuunga mkono mpendwa mwenzako!
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] povu naona linawatoka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
ha ha...
kama ndo hivyo basi huyo mungu hana chake..!!

kama roma ndo wanafanya hayo yote basi hata biblia nazani ni mpango wao,ila sasa wanataka kututoa stage fulani kwenda stage nyengine.
Vipi sasa kwa mungu anaehubiriwa kila siku na hili analifumbia macho..?
Ama anapenda kuona matukio haya wakati anauwezo wa kusaidia..?
M/Mungu yupo na nguvu zake ni madhubuti kweli kweli,na uwezo mkubwa juu ya kila kitu,akitaka jambo litokee yeye hutamka tu hutokea.Usiwe na shaka na hilo.
Pili,mwanadamu yupo kwenye mtihani hapa duniani,na kaonywa kuhusu shetani kwamba ni adui yake,akimfuata atampeleka pabaya.Mgogoro umeibuka miongoni mwetu;wengine wameona shetani anawafaa kuwaendeshea mambo yao,wengine wanasema hayupo,wengine wanajitahidi kujihadhari nae.Hapa ndipo tatizo lilipo.M/Mungu ni mwenye hekima sana.Kwa fujo hizi,angeamua kuadhibu,ataadhibu na wasiokuwamo kwa hiyo ameamua kutoingilia 'mnyukano' wetu kwa kuwa muongozo katoa,mitume walikuja (sio hawa wa zama hizi),akili tumepewa.Kwa hiyo tupo kwenye mtihani,kuchagua batili au haki.
 
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] povu naona linawatoka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sio povu mpendwa, nimeuliza tu kama vyote vilivyo Google, vina ukweli!?
 
ha ha...
kama ndo hivyo basi huyo mungu hana chake..!!

kama roma ndo wanafanya hayo yote basi hata biblia nazani ni mpango wao,ila sasa wanataka kututoa stage fulani kwenda stage nyengine.
Vipi sasa kwa mungu anaehubiriwa kila siku na hili analifumbia macho..?
Ama anapenda kuona matukio haya wakati anauwezo wa kusaidia..?
Hzo zote n exams na unatakiwa upasi
 
Mkuu,your logic makes sense lakini nikuambie tu ni kuwa,mipango hii haikuanza jana kutawala ulimwengu. Kwahio usikurupuke.

Hebu angalia kuhusu magonjwa,vyakula,nk. Sasa hvi hata Tanzania inataka kugeuka jangwa unadhani ni bahati mbaya?
Wanataka kuhakikisha kuwa watu wanapungua kwa kutumia chakula na magonjwa kawanza then vita. Oh yeah,vitu vingi vinaonekana ni normal sana aise

Mkuu kuwa serious kidogo Tz kuwa jangwa wao wanahusika kivip hapo? Kwani sio sisi watz wenyewe tunaokata miti kwa ajili ya mkaa na kuni? Sasa mvua itapatikanaje ilihali misitu tunavyeka? Jiografia ya form one inatosha kabisa kujua "rain formation"......mkuu hapo kwenye jangwa elaborate plzzzzzz!!
 
Back
Top Bottom