Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Nakubaliana na wewe mleta mada kwa upande mmoja.

Najumbuka uchaguzi wa Tanzania uliopita, nadhani hii nguvu ya "Papa mweusi" ilifanya kazi. Naimani Lowassa alushindwa sababu alikuwa mluteri japo ilionekana kuwa alikuwa na wafuasi wengi kumshinda yule wa upande mwingine ila tatizo Nathani alikuwa na msimamo unaopingana na huyo Papa mweusi.
KUMBE SIO MM 2 NILIOKUWA NAWAZA HIVI BIG UP KWAKO
 
Mtoa mada ni msabato Kwani ndo watu wanaojiona wasafi Sana katika dunia hii, Kumbe wote ni wadhabi
UMETUMIA VIGEZO GANI KUJUA KWAMBA NI MSABATO AU NI ULIMBUKENI WA MAWAZO NA UDINI ULIOKUJAAAA.....MM MOAKA LEO NAJIULIZAGA ILE IBADA YA KUMCHAGUA PAPA INAVYOENDESHWAGA .NA KAMA ULIKUWA HAUJUI NI KUWA POPE NI CHEO AMABACHO KINAFANYA MUENDELEZO WA MAFUNZO YA PAULO AMBAYE KINADHARIA WANASEMA ALIFIA VATICAN ITALIA SASA NATAKA KUJUA KABLA YA PAULO HAO WANAFUNZI WENGINE WA JESUS WALIKUWA WANCHAGULIWAJE?????? NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI USISEME UNAUMWA NA MACHO
 
Hata IS ni wao
huku kunaitwa kutokuelewa mada na kuchangia pumbaaaaa .sasaaa ngoja nikuulize ina maana haujaelewa nn hasa? yy mtoa mada kataja vikundi vya kiintelijensia worldwide ww kwa kuona eti hadi mosad wapo ukaaamua kiwaweka na IS kwani na wao ni intelijensia? bila shaka na ww ni wale watu wa (AILAANIYE ISRAELI NA YY AMELAANIWA) Hahahahahaaaaaaaaaa!!!!!!! nakucheka kwa dharau
 
Kwahivo mleta mada habari nzito ya siri kubwa namna hii wee uliwezaje kuipata na ujasiri Wa kui share umeupata wapi' just thinking" sema natamani kusema acha upumbavu
HUU UNAITWA UWOGA WA FIKRA nyerere angekuwa kama ww unadhani tungepata wapi uhuru??????????
 
Haya mambo nashukuru Mungu niliyajua kitambo.
Papacy ni shida
 
Afadhali na wewe umeona. Ukiwakuta wanavyohadithiana vijiweni unaweza kuona aibu wewe. Sishangai kuona albino wakiuwawa kama fikra zetu ziko hivyo
Afu hizi mada wasabato wamekomaa nazo mbaya, pia bila kusahau wale wanywa kahawa. Story zenyewe ni mambo ya umbea umbea na majungu. Hawa wasabato kwenye sherehe za vibanda ati vijana hufanyishwa mazoezi ili kujiandaa na mpango wa Pope kuwashambulia! Ni story za kupuuza tu hizi
 
Hakuna lolote kama walishindwa kufanya dunia iwe under one gvt miaka ya 1700-1900 kipondi ambacho utandawazi haupo ,watu ni wachache,watu ni wajinga wataweza sasa hv kwenye kizazi hiki.
wewe ndio katika wale ambao hawaelewi dunia inaendaje labda nikuamshe fikra ..NI HIVI WALE SIO WAPUMBAVU NA KAMA UNADHANI ETI ZAMANI WALIKUWA WAJINGA KAMA UNAVYODHANI UNAKOSEA SANA NI KUWA WALITUINGIZIA KWANZA MFUMO WAO KWENYE KILA KITU YAANI SEKTA ZOTE NAGUSIA SANA KIELIMU ILI TUELEWE MAFUNDISHO YAO KISHA BAADAYE WAANZE KUTUBADILI MDOGO MDOGO MFANO WW SASA HIVI UNAAMBIWA UTUMIE UZAZI WA MPANGO ETI KISA DUNIA WATU WANAKUWA WENGI NA RESOURCES ZINAISHA NAKUTOKA NA ULIVYOSOMA DARASANI UNAONA NI KWELI UNAPANGA UZAZI NA WAKATI WALE WATU WA ZAMANI AU HATA TU WALE WATU AMBAO HAWANA ELIMU WA VIJIJINI UKIMWAMBIA UZAZI WA MPANGO HAKUELEWI HATA KIDOGO NA ANAZALIANA IPASAVYO WW UNAMUONA NI MJINGA NA WAKATI WW NDIO MPUMBAVU...KINGINE UMEKAAA DUNIANI MIAKA YOTE HIYO UMESOMA HISTORIA YA DUNIA MIAKA YOTE HIYO USHAWAHI SKIA WAPI SCARCITY YA RESOURCES LA KUJIULIZA ZAMANI WALIKUWA WATU HAWANA UZAZI WA MPANGO NA WALIKUWA WANAZALIANA VIBAYA MNO WAPU ULIONA WANALALAMIKA NJAA AMA SCARCITY OF RESOURCES? JIBU NI HAMNA ETI SASA HIVI DUNIA INA WATU WACHACHE 2 BILIONI 9 WANASEMA SCARCITY YA RESOURCES TAYARI WAMESHAKUFUNGA AKILI NI KWA KUWA WW NI MSOMI UNAFUATA YALE WANAYOTAKA WAO BADO TU HAUJAINGIA KATIKA KANUNI ZAO BADO TU HAWAJAKUFUNGA AKILI AFU UNAJIONA MJAAANJA ETI KWA KUWA UNAELIMU HII ELIMU ULIYO NAYO NI SAWA NA WAMEKUEKEA KASWITCH CHA GARI SASA WANATAKA WAINGIZE UFUNGUO ILI WAKUENDESHE TU.NA WALE WA VIJIJINI NDIO WAJANJA .NYONGEZA HATA AKAMA UNGEKAAAA MIAKA 100000000 DUNIA INGEENDELEA KUWA HIVI HIVI NA HAMNAGA K2 POLLUTION AUA SCARCITY OF RESOURCES
 
Mkuu uandishi wako sio mzuri,jaribu kuandika vizuri nitakujibu! ila nikupe mfano moja mdogo ilikuwa rahisi kuunganisha Afrika nzima miaka hiyo nchi zikidai uhuru kuliko sa hivi ni kwa nini???
 
badala ya kuandika makala ya kuelimisha watu waendelee, badala yake unaleta makala ya kuwapumbaza watu wakae na hofu wasiendelee na shughuli za maendeleo, km hao unao wasimulia wanataka kuleta dini moja tatizo liko wapi?
leo hii tuna mamilioni ya dini lkn uovu unazidi kupanda, hizo zinafaida gani? km Mungu ni mmoja kwanini dini isiwe Moja?
 
Ila yote haya kayaruhusu Mwenyezi Mungu ambae ndie atakaekuja kuyaondoa duniani,yeye ndie Mkuu wa yote wapo walioenda mbali udai shetani na Mungu Lao ni moja,na wana fact km shetani anaweza chezea dunia apendavo na Mungu anamuacha wakati yeye ndo awezae kumdhibiti
 
Yeah hawa watu nimepata taarifa zao wanae pesa nyingi kinoma utajiri unaofikia $500 trillion sio watu wazuri wanampinga mungu•
 
Na wewe ni agent wa shetani. Kwanini usitumie makala kama hii kusifu uweza na utukufu wa Mungu badala yake unasifia kazi za shetani.
Kizazi cha nyoka kitataka ishara za kimungu na wala akitaona bali kitapata ishara za kishetani.
 
Wewe kama unaona huu ni uzushi, tueleze ukweli wenyewe ni upi? Sio unaleta kelele za nyuki kama jina lako lilivyo kimasai....(alakaibarra)
Ukweli ni kuwa Jesuit father's website yao iko wazi. Kazi zao zipo wazi search utawapata. Unataka ukweli upi ? www jesuits.org/worldwide
 
Back
Top Bottom