Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
[emoji23][emoji23][emoji23] bravoCambridge primary school
Guangzhou secondary school
yess BiShoo haswaaAaa
Duh! Sasa Miaka 10 yote ulikuwa huwasiliani na home kwenu? Ulivyorudi walijisikiaje/uliwakutaje? Yliwakuta bado wanaishi maeneo yale yale uliyoayaacha?Ngoja Na Mimi ni share sehemu ndogo ya Mapito yangu kwenye Elimu
Uhuru Primary Ilala 1975-1977
Mzee akahamishiwa Kibaha.
Mailimoja Primary 1977-8
Kibaha primary 79
Tumbi primary 1980
Nikamalizia la 7
Shule ya msingi chalinze 1981
Baada ya kuhitimu msingi
Nilipita shule hizi secondary
Kibaha sec
Nilifukuzwa kabla hata ya kumaliza unjuka
Nikaenda
Ifunda tec nikiwa 4m 2 tuliiba spare za karakana nikatimuliwa
Iyunga tec sikufanikiwa kumaliza kidato cha 4 Mzee akanichoka
Enzi hizo Uncle alikuwa mwalimu wa Tambaza Nikawa nasoma part time Mpaka nilipopata nafasi kwa mbinde Arusha day
Nikafanikiwa kumaliza elimu ya secondary
Kwa mbinde.... Hiyo 1986
Maisha ya Advance yalikuwa matamu sanaa
A-Level Nilipita Kibaha tena na nikamkuta Mwl Mkuu yule yule aliyenifukuza kwa kosa la kumleta demu usiku kwenye dom za shule Enzi nikiwa njuka na yule demu alikuwa anakaa kwenye Kota za shirika la Elimu kumbe alikuwa ni Binti yake.
Mzee wa watu alikuwa na kinyongo bado nikaundiwa zengwe nikafukuzwa tena nikiwa 5
Nikaona kusoma si riziki na mshua alikuwa mkali sanaa
Hapo nika escape home na kuzamia kenya kipindi hicho kenya walikuwa mabepari.
Nikawa naosha magari na kubrush viatu vya wazungu. Mungu si Athumani kuna kizee cha UK kilikuwa na mashamba yake kakanichuka kakanipeleka huko Eldoret.
Nikawa napiga shamba wakati huo Habari ya home na shule nilikuwa sitaki kusikia kabisa.
Miaka 5 Mbele yule mzee alitembelewa na watoto wake.
Kufupisha history yangu ya Elimu
Mmoja wa watoto wake nilimkula ki masihara na mbaya zaidi yeye aliforce
Binti alipata UjauZito na hakuwa tayar kuniacha
Muhuni Nikapata bahati ya kuzamia UK kisa K tuu!
Mzee wa Binti alipata fadhaa sanaa.
Ikabidi anipeleke Kozi ili niendane na Binti yake na hapo ndipo milango yangu ya Elimu ikafunguka na Nikafanikiwa kusoma vyuo vikuu bora.
Binti alifariki akaniachia mapacha wa 2
Na baada ya miaka 15
2005
Ndipo nirirudi nyumban Tz baada ya zaidi ya miaka 10+
Mpaka sasa nafahamu
Kila kinachotokea ni mpango wa MUNGU na hutokea kwa Makusudio.
Funguni pr&Sec School/Pangani Tanga.
Tag jina la shule uliyosoma secondary na primary.
1. Shule ya msingi ngaiti
2. Shule ya msingi chikuyu
3. Shule ya msingi heka
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima yako kaka, pia pole sana kwa kumpoteza mkeo, kweli matokeo yote ni mpango wa Mungu japo hata mikono ya ibilisi inaweza changiaNgoja Na Mimi ni share sehemu ndogo ya Mapito yangu kwenye Elimu
Uhuru Primary Ilala 1975-1977
Mzee akahamishiwa Kibaha.
Mailimoja Primary 1977-8
Kibaha primary 79
Tumbi primary 1980
Nikamalizia la 7
Shule ya msingi chalinze 1981
Baada ya kuhitimu msingi
Nilipita shule hizi secondary
Kibaha sec
Nilifukuzwa kabla hata ya kumaliza unjuka
Nikaenda
Ifunda tec nikiwa 4m 2 tuliiba spare za karakana nikatimuliwa
Iyunga tec sikufanikiwa kumaliza kidato cha 4 Mzee akanichoka
Enzi hizo Uncle alikuwa mwalimu wa Tambaza Nikawa nasoma part time Mpaka nilipopata nafasi kwa mbinde Arusha day
Nikafanikiwa kumaliza elimu ya secondary
Kwa mbinde.... Hiyo 1986
Maisha ya Advance yalikuwa matamu sanaa
A-Level Nilipita Kibaha tena na nikamkuta Mwl Mkuu yule yule aliyenifukuza kwa kosa la kumleta demu usiku kwenye dom za shule Enzi nikiwa njuka na yule demu alikuwa anakaa kwenye Kota za shirika la Elimu kumbe alikuwa ni Binti yake.
Mzee wa watu alikuwa na kinyongo bado nikaundiwa zengwe nikafukuzwa tena nikiwa 5
Nikaona kusoma si riziki na mshua alikuwa mkali sanaa
Hapo nika escape home na kuzamia kenya kipindi hicho kenya walikuwa mabepari.
Nikawa naosha magari na kubrush viatu vya wazungu. Mungu si Athumani kuna kizee cha UK kilikuwa na mashamba yake kakanichuka kakanipeleka huko Eldoret.
Nikawa napiga shamba wakati huo Habari ya home na shule nilikuwa sitaki kusikia kabisa.
Miaka 5 Mbele yule mzee alitembelewa na watoto wake.
Kufupisha history yangu ya Elimu
Mmoja wa watoto wake nilimkula ki masihara na mbaya zaidi yeye aliforce
Binti alipata UjauZito na hakuwa tayar kuniacha
Muhuni Nikapata bahati ya kuzamia UK kisa K tuu!
Mzee wa Binti alipata fadhaa sanaa.
Ikabidi anipeleke Kozi ili niendane na Binti yake na hapo ndipo milango yangu ya Elimu ikafunguka na Nikafanikiwa kusoma vyuo vikuu bora.
Binti alifariki akaniachia mapacha wa 2
Na baada ya miaka 15
2005
Ndipo nirirudi nyumban Tz baada ya zaidi ya miaka 10+
Mpaka sasa nafahamu
Kila kinachotokea ni mpango wa MUNGU na hutokea kwa Makusudio.
Wow, UDBS mwaka gani mkuu?Green Acres primary Dar(mbezi)
St James Serminary (Kilimanjaro)
Udsm( udbs )
[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehee.. Siku ya nyama ilikua sherehe. Nakumbuka tulikua tunabakiza ili kulia wali jioni. Daah
Hehee.. Siku ya nyama ilikua sherehe. Nakumbuka tulikua tunabakiza ili kulia wali jioni. Daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kabisa Kaka yaani nkajikuta najiona nshafika.Kakutajia kwenu basiiiii waaaaahhhhhh!
Lile scramble lilikua si la kitoto. Sisi ule uji tulikua tunachanganya na ubwabwa mkavu. Shughuli yake utaipata chooni ila nilichokuwa napenda vinakaa tumboni muda mrefu.Hahaha
Siwezi scramble ya chakula
Nilikuwa napenda uji wa jumamosi uweke na tambi hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlimwa Primary nimesoma level za mwanzoni za elimu yangu. Sikumbuki chochote pale. Ila nakumbuka kulikua na shule inaitwa kaindege pembeni ya Mlimwa.
Mimi nilikuwa mbele yako sana, ukute ulianza wakati nimemalizaHahahahahahahahahaah.
Hukuwa darasa letu mkuu wacha mbwembwe
Mkuu wew classmates wako ni wadada tuu[emoji16][emoji16]Mimi nawatafuta waliosoma Eckenforde Secondary School pale Tanga kuanzia 1999 mpaka 2002.
Kuna mdada mmoja alikuwa anaitwa Lina, nadhani alikuwa anatokea Dar, alikuwa mweupe sana kama mzungu hivi. Huyu nadhani alihama tulipokuwa form one.
Mdada mwingine alikuwa anaitwa Hidaya Ufuzo, jina la pili sina uhakika. Alikuwa anatokea Zanzibar nadhani. Alikuwa mnene hivi maji ya kunde. Huyu nakumbuka tulipokuwa form two mwaka 2000, alihama.
Kama mpo humu, tafadhalini nawatafuta sana classmates wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada yangu wa kwanza kasoma changa primary kule.Wacha kabisa Kaka yaani nkajikuta najiona nshafika.
Hapo naweza nkakubali. Siku moja kulikuwa na ziara ya kimasomo kuelekea Mikumi unakumbuka gari liliharibikia pale tip top???