Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Primary : Trust st Patrick

Sec : St Francis de sales + Anderlek Ridges Secondary School
 
Baada ya kufukuzwa tena shule Advance
Niliogopa kurudi home maana Baba alikuwa mkali sanaa na hapo Siyo siri ALINICHOKA kwa visa vyangu.
Nikaona isiwe kesi ikabidi Nitoroke Tu.
Kimya pasipo kwenda home.
Hiyo ilikuwa nakumbuka 1987 Mwishoni.
Nikaja kurudi home 2005 Mwanzoni.


So hakujua nipo wapi kipindi chote.

Niiporudi Nguvu ya Pesa Iliwafanya wanyong'onyee.
Dhaaaa aiseeeee ni miaka mingii sana tena sana brother. Hongeraa kwa kuwa jasiriii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom