mfyayukulela
Senior Member
- May 30, 2017
- 167
- 234
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope mkuu huu uzi wa kuvutia muda tu. Najua naye hakuwa serious kama walivyo wengi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee naona mmevuliana mashati kabisa
Happy dude [emoji67][emoji538]
Yaani unanipa reference ya member wa Jf ambao hawajui kiswahili kama wewe? Niletee link ya maana au nenda kwenye kamusi ulete screenshot hapa
Hahaha dah, raha gani sasa wakati shule za kawaida tu. Alafu wewe si ulikuwa classmate wangu?Watoto wa matajiri mna raha.
2006 [emoji53]
Mimi nilikuwa nasomeshwa na "compassion " nilivyomaliza bebi clasi nikarudishwa shule za kuunga juhudi.Hahaha dah, raha gani sasa wakati shule za kawaida tu. Alafu wewe si ulikuwa classmate wangu?
Mbona hujataja shule yako ulipoungia juhudi ili classmates wako wakuone?Mimi nilikuwa nasomeshwa na "compassion " nilivyomaliza bebi clasi nikarudishwa shule za kuunga juhudi.
Haujaiona huko juu?Mbona hujataja shule yako ulipoungia juhudi ili classmates wako wakuone?
Yupo shallow
Sijaona ujue mimi mvivu wa kupitia post by post nikishaona uzi una replies nyingi sipitii posts.Haujaiona huko juu?
Nguvumali primary school
Haki secondary school
Coastal high school
Sent using Jamii Forums mobile app
Jani limesimama imara leoYeah, sana tu
Mor sec
Same sec
St Anthony sec mbagala
Mazengo high school- combination PGM
Sent using Jamii Forums mobile app