Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Sijaona ujue mimi mvivu wa kupitia post by post nikishaona uzi una replies nyingi sipitii posts.
Kwa stlyle hii, utakuwa unauliza maswali, ambayo majibu yake yalishaandikwa kwenye uzi huo huo. Au, ukatoa mawazo/mchango ambao tayari umeshatolewa!
 
Shule ya msingi kazembe STD 1
Shule ya msingi ipuli STD 2 mpaka 3
Shule ya msingi kitete 4
Ndio ukawa mwisho wangu baada ya kufel darasa la nne zaidi ya mara tano uku umri ukisogea sana ilifikia mpaka kipindi nikawa naamkiwa na walimu ,mkuu wa shule alinishauri niache shule maana aliona dalili ya mimi kuanza kuzaa na wanafunz wenzangu au walimu wangu
 
Back
Top Bottom