Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Buruburu Primary school
Kenyatta high school
CUK Yote iko hapo jirani
Kenyatta high school
CUK Yote iko hapo jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa stlyle hii, utakuwa unauliza maswali, ambayo majibu yake yalishaandikwa kwenye uzi huo huo. Au, ukatoa mawazo/mchango ambao tayari umeshatolewa!Sijaona ujue mimi mvivu wa kupitia post by post nikishaona uzi una replies nyingi sipitii posts.
Kigali academy - kigali
Gongoni p/s - Tabora
Kitete p/ s - Tabora
Mihayo sec -Tabora
Sangu sec - Mbeya
Swila sec -Mbeya
Kinyala sec - Mbeya
Berkeley ss- Kampala
Hilton high - Kampala
St Kithende - Kampala
Cbe - Dodoma
Cbe - Dar
Eastc - Dar
Mzumbe - Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee[emoji2]Thread zingine ni za kuwindana ili ujulikane ni nani maana unakuta kuna waliosoma chuo fulani,secondary fulani na shule ya msingi fulani hapo zikiunganishwa dot kama wadau wanakutafuta unadakwa kama kuku mwenye mdondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kijana wa Mutembei wamtafuta mwenzako.Aise umemaliza mwaka gani
Sent from my Samsung Galaxy S10 using Tapatalk
Kila mkifunga shule anawagonga pilau, jamaa anajua kutesa watu yule.
Kila mkifunga shule anawagonga pilau, jamaa anajua kutesa watu yule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikusomea kupata kazi ila kutengeneza kazi mkuu, nimejiajiri na kuajiri wengine, nafanya shughuri halali na zisizo halali kwa kutumia elimu, exposure na network niliyoitengeneza throughout all those years.Vipi kazi unayofanya ndio ulosomea?
Mlitikisa sana kipindi kile...vipi mkuu bado mgomo unaendeleza au now umeshapoa mkuuExactly mzeee.....ila me nlikua hgl na bwashee pcb so kati ya wale sita waliopigwa suspension... Me mmoja wao
Sent using Jamii Forums mobile app