Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Mlitikisa sana kipindi kile...vipi mkuu bado mgomo unaendeleza au now umeshapoa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku mtaani nitavunjwa kiuno na serikali aiseee...now nimetulia...c unajua tena ukishaingia kwenye corporate jobs inabidi utulie tu hatuna jinsi....ambae bado analisongesha ni bwashee....akiwa pale MUHAS alikua raisi na 2015 aligombea udiwani kata ya upanga....kati ya wale sita ni yy tu kabaki kwenye harakati wengine tumepoa Kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom