Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Tuntemeke Shule ya Msingi, mimi peke yangu huku ndio nimeishia la saba B, na nina amani.
 
Acha kujitapa wale walikuwa mademu wa Moshi nzima hata Lyamungo, Umbwe, Tech, na wengine. Wale mademu niliwanyooshea mikono.
Hahahha sasa Mzee lyamungo walikua sio kivile mpka watoke kibosho ni Leo??Umbwe mademu zao walikua machame girls hadi walikua wanajiita "UMACHA". Ila pia sipingi sana point yako maana kuchukua watoto wakali ni ujanja wako tu....advantage tuliokua nayo old moshi ni kwamba tuko town,alafu free kujiachia,kila weekend pub Alberto na La liga ulikua hutukosi...kila alhamiss na jmoss full kuzamia YMCA pale kwenye maharusi na send offs....ikifinyika graduu yoyote ya shule za girls mkoa wa Kilimanjaro huwezi kosa watoto wa old moshi hata siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom