Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Hii sio comment ya mtu aliyeona video chacheKatika videos chache za mziki nilizowahi kuona hii nimeona haikuwepo chemistry kati ya huyu dada na Diamond...ni as if alikuwa anamuogopa Diamond
Chemistry haikuwepo kabisa...ilikuwepo maths tu