Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

Katika videos chache za mziki nilizowahi kuona hii nimeona haikuwepo chemistry kati ya huyu dada na Diamond...ni as if alikuwa anamuogopa Diamond

Chemistry haikuwepo kabisa...ilikuwepo maths tu
Hii sio comment ya mtu aliyeona video chache
 
Video vixen wa mapozi anaitwa
Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya.

Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki.

Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
Yaan duuuh Jina 'Sikujua' kwanza ni Jina la uswazi kabisa kule kwa Mtogole ndani ndani alafu unasema mbantu hujasema katokea Nchi gani mara unasema anaishi Finland hapo hapo unaitaja Helsinki mji wa Finland, kwa hio yeye ni raia wa Finland?
 
Huyo mwanamke ata nikipewa pamoja na nyumba masaki namkataa nabaki na demu wangu wa sinza mwenye msambwanda
 
Matikiti kudondoka ni kwa wanawake wengi tu ,vinabustiwa na sidiria ya vyuma....Ila demu ana sura nzuri sana.
Wengine tunapenda kitu mchongoma ukiguswa nacho unahisi kuna kitu kinakuchoma chuchu konzi limejifungia likasimama lenyewe sio kusimamishwa kwa Busta ya sidiria ya vyuma
 
Back
Top Bottom