Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mjukuu wa Bakhresa, Zayed, hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na maisha yake ya kifahari na ubunifu katika sekta ya biashara. Katika video aliyoiweka mtandaoni (X, Zamani Twitter), Zayed anaonesha jumba lake la kifahari na la kisasa, lenye upekee ambao unathibitisha uwezo wake wa kifedha.
Kwenye post yake hiyo ameambatanisha ujumbe unaosomeka: The mansion speaks because it was paid in cash. Tazama video hii ambayo inaonesha mazingira ya ndani ya Jumba hilo la Kifahari
Soma:
• Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town
• Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua
• Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town
• Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua