Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mjukuu wa Bakhresa, Zayed, hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na maisha yake ya kifahari na ubunifu katika sekta ya biashara. Katika video aliyoiweka mtandaoni (X, Zamani Twitter), Zayed anaonesha jumba lake la kifahari na la kisasa, lenye upekee ambao unathibitisha uwezo wake wa kifedha.
Kwenye post yake hiyo ameambatanisha ujumbe unaosomeka: The mansion speaks because it was paid in cash. Tazama video hii ambayo inaonesha mazingira ya ndani ya Jumba hilo la Kifahari
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
Soma:
Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town
Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua
 
Kua mjuku wa bakharesa kua na masion sio stori kabisa, ange tuonyesha biashara kuliko ya babu yake ndo tutamuamini........
 
Kijuku ni kijinga sanaa kuonyesha jumba wakati ni liability si bora angeonyesha hotel au real estate ya apartiment huyu kasha kua mjinga kama vitoto vya Tanganyika wapemba hawana showoff.
 
Ila kwenye nyasi kachemka.. Imeliwa na fungus ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…