Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea

Pesa haitaki kelele!

Sasa kutana na matajiri wa social media na kelele zao.
-Huyu kashika mabunda ya fedha anapiga nayo picha,
-yule kule jaya jaza ndani ya gari,
-mwingine kasambaza kitandani chumbani,

Wenye nazo wako kimyaa, unaona matendo tu.
 
Kajukuu hakapigwi mizinga na marafiki na ndugu ndio maana lazima kawe vizuri, sio kama sisi ukitoboa ukoo wote unakupiga mizinga
 
Huyo ni Mtoto wa Yusuf SSB, huyo dogo kaCopy kwa Babake, Yusuf mtu wa kujiachia sana!
Ila Yusuf sio mtu wa kushow off kama huyu dogo, huyu Zayed ana maneno ya shombo sana

Kuna jamaa alimwaambia kwenye post yake fulani ya X kaka hongera umezikuta hizo baba tumia

Dogo akamjibu The duck may swim in the lake but my dad owns the lake.
 
Unapaswa kukubaliana kutokukubaliana na mawazo yao uliowanukuu maana ndiyo tafsiri halisi ya uhuru wa mawazo tofauti.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…