Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Marekani naona location ndio inaamua bei ya nyumba yakoKibongo bongo ni ''jumba''. Lakini kiuhalisia hiyo ni nyumba ya kawaida sana ukifananisha na thamani ya nyumba walizonazo matajiri na familia zao duniani.