Tetesi: Mjumbe aliyetaka Samia na Hussein Mwinyi watoke kwenye kikao ili wawajadili aitwa kujieleza

Mdomo uliponza kichwa.

Wazazi pelekeni watoto shile,huyu mjumbe wa mkutano mkuu angejuwa anemakiza ata four ya 31 angeelewa kuwa lile lilikuwa igizo.

Kikao kilikuwa kimepangwa vizuri, kila jambo likiwa limeandaliwa kwa mpangilio maalum, lakini mtoa hoja aliamua kwenda kinyume na mpango uliokuwepo.

Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Nusura aharibu kabisa mwelekeo wa kikao.

Bahati nzuri, Steering Committee ilistukia haraka mchezo na kuchukua hatua za haraka kuzuia hali isiwe mbaya zaidi.

Ilikuwa ni hali ya hatari, hasa kama Mwenyekiti angeamua kuwapa nafasi wapinzani wa hoja hiyo. Ingekuwa balaa, kwani wapo ambao wangejitokeza kuipinga kwa nguvu hoja hiyo.

Kama hali hiyo ingekuwa imeachwa, Mwenyekiti angejikuta kwenye shinikizo kubwa, na huenda angeishia kuwa Rais wa muhula mmoja tu katika historia yetu.
Huyo muda wowote ni pir kabisa maana hawataki mchezo
 
Badala wafurahie watu wameangalia kipande cha mikutano wao kupata kapromo..

Sasa hii ni kujichafua zaidi, wananchi sasa haya hawayapendi kabisaaaa

Duh!!!!!!
 
Mdomo uliponza kichwa.

Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo.

Kikao kilikuwa kimepangwa vizuri, kila jambo likiwa limeandaliwa kwa mpangilio maalum, lakini mtoa hoja aliamua kwenda kinyume na mpango uliokuwepo.

Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Nusura aharibu kabisa mwelekeo wa kikao.

Bahati nzuri, Steering Committee ilistukia haraka mchezo na kuchukua hatua za haraka kuzuia hali isiwe mbaya zaidi.

Ilikuwa ni hali ya hatari, hasa kama Mwenyekiti angeamua kuwapa nafasi wapinzani wa hoja hiyo. Ingekuwa balaa, kwani wapo ambao wangejitokeza kuipinga kwa nguvu hoja hiyo.

Kama hali hiyo ingekuwa imeachwa, Mwenyekiti angejikuta kwenye shinikizo kubwa, na huenda angeishia kuwa Rais wa muhula mmoja tu katika historia yetu.
Kwa hiyo hapo unamlaumu au una maana gani? Je, hoja yake haikuwa na maana utafikiri? Je, ukiwa msomi unafundishwa na uoga pia?

Kwa hiyo hapo unamlaumu au una maana gani? Je, hoja yake haikuwa na maana utafikiri? Je, ukiwa msomi unafundishwa na uoga pia? Kama na wewe ni msomi basi umehitimu tu lakini hujaelimika!
 
Kwenye filamu watu hufuara script,
 
Back
Top Bottom