Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani atakuwa wa mihula mingapi?Kama hali hiyo ingekuwa imeachwa, Mwenyekiti angejikuta kwenye shinikizo kubwa, na huenda angeishia kuwa Rais wa muhula mmoja tu katika historia yetu.
Ha ha ha ha - kibajaji kazi anayoJimbo la Mtera liko wazi
Litamfaa Benson Kigaila wa CHADEMA
Kihunzi cha kwanza kesha kiruka kuwa mwakilishi wa sisiemumbona kuwa wa muhula moja uko palepale
Aisee! Kamdomo kamemponza..........Kibajaji alitaka kuleta balaa
Haaa haaa Odero kawa "meme "Kama angepigiwa kura angeambulia moja tu kama odero chales Odero
Mtaje
Bimkubwa angejaa tu kwenye mtego wa maninja angefurahi
Angesumulia wajukuu
Ni wazi wewe hujui kitu,na mkutano ule hukuufuatilia vizuriMdomo uliponza kichwa.
Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo.
Kikao kilikuwa kimepangwa vizuri, kila jambo likiwa limeandaliwa kwa mpangilio maalum, lakini mtoa hoja aliamua kwenda kinyume na mpango uliokuwepo.
Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?
Nusura aharibu kabisa mwelekeo wa kikao.
Bahati nzuri, Steering Committee ilistukia haraka mchezo na kuchukua hatua za haraka kuzuia hali isiwe mbaya zaidi.
Ilikuwa ni hali ya hatari, hasa kama Mwenyekiti angeamua kuwapa nafasi wapinzani wa hoja hiyo. Ingekuwa balaa, kwani wapo ambao wangejitokeza kuipinga kwa nguvu hoja hiyo.
Kama hali hiyo ingekuwa imeachwa, Mwenyekiti angejikuta kwenye shinikizo kubwa, na huenda angeishia kuwa Rais wa muhula mmoja tu katika historia yetu.