Tetesi: Mjumbe aliyetaka Samia na Hussein Mwinyi watoke kwenye kikao ili wawajadili aitwa kujieleza

Daaaa kumbe anajua....kuwa hatoboi akipigiwa kura....? Kazii yeye hataki demokrasia ndani chama chake
 
Mdomo uliponza kichwa.

Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo.

Kikao kilikuwa kimepangwa vizuri, kila jambo likiwa limeandaliwa kwa mpangilio maalum, lakini mtoa hoja aliamua kwenda kinyume na mpango uliokuwepo.

Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Nusura aharibu kabisa mwelekeo wa kikao.

Bahati nzuri, Steering Committee ilistukia haraka mchezo na kuchukua hatua za haraka kuzuia hali isiwe mbaya zaidi.

Ilikuwa ni hali ya hatari, hasa kama Mwenyekiti angeamua kuwapa nafasi wapinzani wa hoja hiyo. Ingekuwa balaa, kwani wapo ambao wangejitokeza kuipinga kwa nguvu hoja hiyo.

Kama hali hiyo ingekuwa imeachwa, Mwenyekiti angejikuta kwenye shinikizo kubwa, na huenda angeishia kuwa Rais wa muhula mmoja tu katika historia yetu.
We mpumbavu huu uzushi na uwongo mtumie mamako siyo watanzania wenye akili wanaojua na walioshuhdia mbashara Mambo yalivyoenda.
 
Kumbe ndio mchezo ulivyokuwa!
Basi wao wanacheza draft wakati mwenzao anacheza chess
Nawe unamzingatia huyo mzushi. Samia alitoka wakati wa kupigiwa Kyra, na alitoka Tena wakati wa kutangazwa matokeo, huyo nyumbu analeta upuuzi gani.
 
Ni swali zuri, na pia utekelezaji mzuri wa kanuni na utaratibu wa uchaguzi, na hio itabaki kama mizimu na doa kubwa la kuitesa CCM ya sasa ya Bibi SSH
 
Ilikuwa haiwezekani b mkubwa kujaa. Maana katiba ya ccm haimruhusu mwenye kiti kutoka nje kwenye mkutano wa wajumbe.

Maana ni yeye ndie anaeuongoza mkutano.

Mwenyekiti kutoka nje ni kuvunja katiba ya ccm

Ni kama kumwambia dereva atoke nje ya gari analoliendesha yeye tu
Katiba ya kidikteta ambayo chadema wameikataa
 
We mpumbavu huu uzushi na uwongo mtumie mamako siyo watanzania wenye akili wanaojua na walioshuhdia mbashara Mambo yalivyoenda.
Unawashwa huko nyuma,njoo nikusugue,mama yako ananajuta kutotumia condom mpaka akakuzaa
 
Mdomo uliponza kichwa.

Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo.

Kikao kilikuwa kimepangwa vizuri, kila jambo likiwa limeandaliwa kwa mpangilio maalum, lakini mtoa hoja aliamua kwenda kinyume na mpango uliokuwepo.

Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Nusura aharibu kabisa mwelekeo wa kikao.

Bahati nzuri, Steering Committee ilistukia haraka mchezo na kuchukua hatua za haraka kuzuia hali isiwe mbaya zaidi.

Ilikuwa ni hali ya hatari, hasa kama Mwenyekiti angeamua kuwapa nafasi wapinzani wa hoja hiyo. Ingekuwa balaa, kwani wapo ambao wangejitokeza kuipinga kwa nguvu hoja hiyo.

Kama hali hiyo ingekuwa imeachwa, Mwenyekiti angejikuta kwenye shinikizo kubwa, na huenda angeishia kuwa Rais wa muhula mmoja tu katika historia yetu.
Yule mjumbe aliyependekeza Samia na Mwinyi wapite bila kufuata katiba ya CCM ndiye alipaswa kuitwa kujieleza. AINAZNAT yetu!
 
Back
Top Bottom