Tetesi: Mjumbe aliyetaka Samia na Hussein Mwinyi watoke kwenye kikao ili wawajadili aitwa kujieleza

Watanganyika wote Wazalendo tukiamua kuungana na kuweka tofauti zetu pembeni, tunaweza kabisa kitu kizuri kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
 
Nimesoma were
Nipojaribu tu kujitutumua ili nielewe usingizi nao ukanipitiaa
 
Bimkubwa angejaa tu kwenye mtego wa maninja angefurahi

Ilikuwa haiwezekani b mkubwa kujaa. Maana katiba ya ccm haimruhusu mwenye kiti kutoka nje kwenye mkutano wa wajumbe.

Maana ni yeye ndie anaeuongoza mkutano.

Mwenyekiti kutoka nje ni kuvunja katiba ya ccm

Ni kama kumwambia dereva atoke nje ya gari analoliendesha yeye tu
 
Angesumulia wajukuu

Hana hata cha kusimulia. Ccm katiba yao imeweka wazi kila kitu.

Pia ccm wanaoruhusiwa kumchagua rais ni watu wachache sana hawafiki 40. Wanaitwa kamati kuu

Wale watu wengi zaidi ya 2000 waliojaa mule ni watoto wadogo sana kwa level ya kumjadili ama kumtingisha Rais
 
Ni wazi wewe hujui kitu,na mkutano ule hukuufuatilia vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…