Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

Green Guard tumeshafutwa siku nyingi....

Acha uongo....
 
Polisi hawapo...

Nendeni hapo Central karibu na KAPIKO mkawafungulie kesi.....

Halafu acha uongo....green Guard hawapo siku hizi...

Kwani ninyi Chadema mnao RED BRIGADE?!!
 
Acha ujinga ,polisi watuogope sisi UVCCM ?!![emoji44][emoji44]

Toka lini?!!
 
Bado mnailizana wasiojulikana ni akina nani?
 
Tuna siasa za kipuuzi mno, uvccm now wananpiwer of arrest, wanamamlaka ya kupiga wapinzani na vyombo vya dola vipo kimya.
UVCCM hatuna nguvu juu ya vyombo vya dola....

Mripoti taarifa akawafungulie kesi hao mazwazwa....isije ikawa wanagombea akina Ashura wa Chuda....
 
Kabisa, wamekuwa wapole mno, kile kikundi chao cha ukinzi kilipigwa marufuku lakini green guard ipo, kwanini?
Mimi nilikuwa hao usemao...tumepigwa marufuku na chama baada ya katazo la msajili wa vyama....sijajua wale majangili RED BRIGADE..bado mnao ?!!
 
Si ndiyo hao hao uvccm ndiyo watekaji wenyewe, usichoelewa nini hapo?
Muulize Boni Yai anayajua yale makundi yao ya akina Somoe ,Marco ,Fadhili Zendua...wako naye toka kipindi kile wakitaka kumdhuru Zitto pale mahakamani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…