Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
 
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata taarifa na walimkuta Husein Hospitalini Bombo.

Green Guard tumeshafutwa siku nyingi....

Acha uongo....
 
Polisi hawapo...

Nendeni hapo Central karibu na KAPIKO mkawafungulie kesi.....

Halafu acha uongo....green Guard hawapo siku hizi...

Kwani ninyi Chadema mnao RED BRIGADE?!!
 
Hili ni tatizo La polisi kufungamanishwa na CCM lazima kazi iwe ngumu upande wa polisi, hasa kwa matukio yanayo fanywa na CCM na ambayo nimengi na yanalipaka matope jeshi la polisi kwa sababu wanakosa nguvu ya kufanya maamuzi, CCM na viongozi wao wanauhuru wa kufanya jambo lolote baya na wanajua hawana cha kufanywa na vyombo vya ulinzi na usalama
Acha ujinga ,polisi watuogope sisi UVCCM ?!![emoji44][emoji44]

Toka lini?!!
 
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata taarifa na walimkuta Husein Hospitalini Bombo.

Bado mnailizana wasiojulikana ni akina nani?
 
Tuna siasa za kipuuzi mno, uvccm now wananpiwer of arrest, wanamamlaka ya kupiga wapinzani na vyombo vya dola vipo kimya.
UVCCM hatuna nguvu juu ya vyombo vya dola....

Mripoti taarifa akawafungulie kesi hao mazwazwa....isije ikawa wanagombea akina Ashura wa Chuda....
 
Kabisa, wamekuwa wapole mno, kile kikundi chao cha ukinzi kilipigwa marufuku lakini green guard ipo, kwanini?
Mimi nilikuwa hao usemao...tumepigwa marufuku na chama baada ya katazo la msajili wa vyama....sijajua wale majangili RED BRIGADE..bado mnao ?!!
 
Si ndiyo hao hao uvccm ndiyo watekaji wenyewe, usichoelewa nini hapo?
Muulize Boni Yai anayajua yale makundi yao ya akina Somoe ,Marco ,Fadhili Zendua...wako naye toka kipindi kile wakitaka kumdhuru Zitto pale mahakamani....
 
Back
Top Bottom