Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

Muulize Boni Yai anayajua yale makundi yao ya akina Somoe ,Marco ,Fadhili Zendua...wako naye toka kipindi kile wakitaka kumdhuru Zitto pale mahakamani....
Hizo ni hekaya tu kama kuna kitu kama hicho polisi wasingekaa kimya.
 
Chadema guard walikua wapi na wao wawapige kiasi hicho hicho walichompiga
 
Chadema guard walikua wapi na wao wawapige kiasi hicho hicho walichompiga
Unazungumzia wale majangili Red brigade ?!!

Walishafutwa....

Kumbe wamejulikana ni jamaa wa UVCCM...huko Tanga hakuna vituo vya polisi?!!
 
Huko CCM ndiyo kuna mazombie yasiyojitambua, kutwa kucha mnamtaja mtu huyo huyo huo ni utaahira kabisa.
Pale ufipa mchawi ni "mabox" na buku 3 tu...mlinzi anawaruhusu sana "bavicha wanaokaa Kinondoni" wajimwaye kule uani nyakati za usiku mwingi....
 
Hizo ni hekaya tu kama kuna kitu kama hicho polisi wasingekaa kimya.
Unatanguliza sana HISIA...

Hayo yalitokea KIUHALISIA....tunasubiri tu wakati mwafaka TUZIACHIE video na "sound notes"...tumezitunza muda mrefu sanaa [emoji1787][emoji1787]
 
Unatanguliza sana HISIA...

Hayo yalitokea KIUHALISIA....tunasubiri tu wakati mwafaka TUZIACHIE video na "sound notes"...tumezitunza muda mrefu sanaa [emoji1787][emoji1787]
Hakuna lolote kwa jinsi CCM inavyotamani kuiangamiza Chadema hilo lingekwisha fanyika siku nyingi sana.
 
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata taarifa na walimkuta Husein Hospitalini Bombo.

He! Kumbe kuna jeshi lingine tofauti na haya tunayo yajua
 
Kazi tunayo!
Ila wanaanza kuirahisisha wenyewe, hapo wanaziba watu midomo, hadi lini?
Mtaweza kila siku?...NO!
Suala la muda tu!
 
Back
Top Bottom