KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Funguka mkuu
Hiyo warning ndio ikamshtua ?.
SijuiHivi peponi ni kulala tu?
Tunajua kulala tu kwa sababu tumemwona kwa macho yetu kuwa amelala kweli, hatujui baada ya hapo.Mara alale pema peponi,wewe tena Alale pazuri peponi,huko peponi hakuna mishe nyingine? Ni kulala tu? Hakuna hata kuimba na kuabudu?
Unataka uamini vipi? Kunywa sumu ufe kama vipi ili ukaamini huko.Siamini
"anaongea kama mashine ya kusaga"Mbona watu wame like sana post yangu ya mimi kula ulabu na mwendazake?
Huyu mzee si alikuwa anajitokeza kwenye vipindi vya tivii kijadili mada mbalimbali?Niliwahi kula nae ulabu ubungo anaongea kama mashine ya kusaga rip
ππ Mzee wa kuwatia watu majotoHuyu mzee akikupa story ya mwaka 70.....
utafikiri imetokea jana..........
alikuwa anajua kweli kupanikisha....
mjanja mjanja sana kama shibuda wanashinda samora pale wanajifanya kila kitu cha mjini wanakijua
Njaa tu.magufuli alimstukia akampa kitengo akawa mpoleAlikuwa ' anapayuka ' sana na kupiga ' Mikelele ' mno katika Media ( Television ) japo kwa 85% Kichwani mwake alionyesha ni Mtu Mwerevu ( Intelligent ) na mwenye Mitazamo ya mbali ( Visionary )
RIP Kwake na poleni wana Familia wake.
Wandugu tujitahidi kuzizuia jazba zetu......kukosana au kutokuelewana na mtu ni sehemu ya maumbile ya wanadamu.......tujitahidi kuzishika nafsi zetu.....pamoja na madhaifu na mapungufu lakini marehemu anabakia kuwa binadamu tu na mwanadamu mapungufu ni sehemu ya maumbile yake.....kumsengenya, kumtukana au kumdhihaki mtu aliyekufa inaonyesha ni jinsi gani tulivyo wafupi wa fikra na kusahau kuwa kifo ni njia ya kila mmoja wetu na kila mmoja ataondoka kwa wakati wake.......tuombeaneni mwisho mwema.....na mengine tumuachie Mungu maana yeye ndiye anamjua kiumbe wake....
Hata we ukifa tutakusema tu so tenda mema broWandugu tujitahidi kuzizuia jazba zetu......kukosana au kutokuelewana na mtu ni sehemu ya maumbile ya wanadamu.......tujitahidi kuzishika nafsi zetu.....pamoja na madhaifu na mapungufu lakini marehemu anabakia kuwa binadamu tu na mwanadamu mapungufu ni sehemu ya maumbile yake.....kumsengenya, kumtukana au kumdhihaki mtu aliyekufa inaonyesha ni jinsi gani tulivyo wafupi wa fikra na kusahau kuwa kifo ni njia ya kila mmoja wetu na kila mmoja ataondoka kwa wakati wake.......tuombeaneni mwisho mwema.....na mengine tumuachie Mungu maana yeye ndiye anamjua kiumbe wake....
Huyo alipigwa covid moja akameza ulimi fasta,sasa hivi anaongoza wauaji wenzake huko motoni
ha ha ha ha ha au nasema uongo ndugu zanguuuuuHuyo alipigwa covid moja akameza ulimi fasta,sasa hivi anaongoza wauaji wenzake huko motoni
Hebu ngoja nimsake youtube[emoji16][emoji16]Kuna siku kwenye kipima joto aliongea huku akituhumu watu left right and center, wakaenda break fupi walivyorudi alikuwa ameondolewa kwenye panel [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mtafute, you will not be disappointed πππ