Tetesi: Mjumbe wa Kamati ya Uenezi ya CCM Mkoa wa Dar, Frey Edward: Kilimanjaro kuna Wabunge 2, Manyara 1, Dar 2 na Mara 1. Watakuja kabla ya Disemba.

Sasa nunueni na wananchi basi!
Siku hizi wameona hakuna umuhimu kununua wananchi, wananunua Polisi na ma DED basi. Kura wananchi wanachagua mgombea A wao wana tangaza mgombea B.
Mkibisha virungu na mabomu. Polisi wetu kwa posho za siku laki moja moja wanapiga mpaka shangazi zao na wajomba
 
Kumbe mmejaza Malaya? Acha wanunuliwe maana ukienda kona bar ni kama uko Chadema unajichagulia Malaya unayemtaka.
Huwezi kuwa malaya au kuitwa malaya kama au kabla hujafanya umalaya.JARIBU KUWA MTU MWENYE KUJENGA HOJA KWA KUSHIRIKISHA UBONGO usikurupuke kuandika.
 
Baada ya msimu huu wa manunuzi kuisha naamini kabisa hata maisha ya POLEPOLE YATABADILIKA SANA. Walio karibu naye watatupa mrejesho. Atakuwa na akaunti zilizonona, na rasilimali lukuki japo najua yy si mjinga kukurupuka mapema hivyo kuonyesha mavuno yake.
 
So long as we are involving tax collection,(public money) to repeat election for those impulsively leaving their former parties to join the ruling party this is one of the indicator of backwardness and decadence
 
HIVI WAKUU HAWA WABUNGE NA MADIWANI HAMAHAMA WANAVUTWA NA ULIMBO GANI AISEEE???
AU NDO VIWANDA TULIVYOAHIDIWA??THIS IS TOO MUCH ASEE
Ni ulimbo uleule uliowavuta kina Ole Millya, Bulaya toka CCM kwenda chadema.
 
Amesema kimetumika kiasi gani cha pesa?
 
Gud analysis though. Still story za vijiweni zisikusumbue. Ushindi huamuliwa na wanaoenda kupiga kura sio wanaojua kuongea siasa. Ni wazi asilimia kubwa ya wananchi mijini kwa sasa wanapenda upinzani kuliko CCM but tofauti hiyo bado ni ndogo kuliko ilivyo tofauti Kati ya CCM na Upinzani huko vijijini. Kama mpaka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2014, Vijiji vingi vilichukuliwa na CCM bila hata Upinzani kuweka Mgombea, hiyo inamaanisha nini?
Siasa siyo kuongea tu mitandaoni lakini katika siku ya muhimu zaidi, unabakia nyumbani na kuwaachia maadui zako wakimpigia kura usiyemtaka.
 
Wanaoweka uwanja sawa wa siasa siyo watawala bali ni wananchi. Siku wananchi wakiamua kuwa, kufanyike mabadiliko fulani ujue hakuna wa kuyazuia. Lakini ukiona jitihada kubwa za Upinzani kutaka kubadilisha vitu fulani lakini hawaungwi mkono na umma, basi ujue wabaya ni Wapinzani na wala siyo wananchi ambao hawajashawishika. An Organisation normally reflects the Society's behavior.
 
Hadi sasa kuhama si shida! Shida ni wewe utamchagua nani,utailinda kura yako,utakata njama za wagombea na kufanya uamuzi sahihi
 
M MIkutano ya kisiasa ipo kisheria /kikatiba ndicho nilichomaanisha .Wanatumia majeshi kuiharamisha.Kwani katiba iliyoruhusu kuwepo mikutano ya vyama vya siasa si mali ya wananchi? au kwako wewe katiba ni mali yanani.Mikutano ya siasa ni takwa la kikatiba.Kuwa mtu unaefikiri kabla ya kuandika.tumia akili .Nashangaa wewe unaniletea hoja za kipumbavu hapa.
 
Kipindi cha tawala za maraisi zilizopita bidhaa adimu kuipata ilikuwa ni WAPIGA KURA kwa maana hiyo kidogo kura na mpiga kura walikuwa na thamani lkn sasa hivi mgombea mmoja akihama ndio kila kitu hii inamaanisha kura na wapiga kura hawana maana yoyote ktk uchaguzi wa Tanzania kwa sasa yaani ushindi wa mgombea hautegemei tena kupigiwa kura. Ushindi wa sasa uko mikononi mwa NEC na Polisi. Wakati wew unaenda kupanga foleni kupiga kura wenzako na karatasi za matokeo walishajaza pengine siku tatu kabla ya uchaguzi. Kura na kupiga kura havina maana yoyote zaidi ya kupoteza rasilimali muda na fedha bila sababu.
 
Kwahiyo chadema kuna watu wasio na akili?
 
Tunawasubiri kwa hamu hao waliotajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…