View attachment 890013
Mjumbe wa Kamati ya Itikadi na Uenezi Mkoa wa Dar es Salaam, Frey Edward Cosseny, amewarusha tena roho juu wafuasi wa Vyama vya Upinzani baada ya kudai kuwa, kuna Wabunge wengine
sita wanafuata baada ya Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya (CHADEMA) kujiunga na CCM.
Frey Cosseny amedai kuwa, Wabunge watakaojiunga na CCM kutokea CHADEMA ni wanatokea Mikoa ifuatvyo:
Mkoa wa
Kilimanjaro - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa
Dar es Salaam - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa
Manyara - Mbunge mmoja (01),
Mkoa wa
Mara - Mbunge mmoja (01).
Huo ndio uchumi wa viwanda! We are extremely good at underdeveloping!
Haya Wazee wenzangu wa
mapovu camp, naomba tutiririke hapa kubashiri Wabunge hao walio mbioni.
Kwa Mkoa wa Mara nahisi
Ester Matiko (Tarime Mjini) hatasalimika na hizi radar za CCM. Utakuwa ni usajili mzuri.
Tutaje wa Mikoa mingine.