Tetesi: Mjumbe wa Kamati ya Uenezi ya CCM Mkoa wa Dar, Frey Edward: Kilimanjaro kuna Wabunge 2, Manyara 1, Dar 2 na Mara 1. Watakuja kabla ya Disemba.

Tetesi: Mjumbe wa Kamati ya Uenezi ya CCM Mkoa wa Dar, Frey Edward: Kilimanjaro kuna Wabunge 2, Manyara 1, Dar 2 na Mara 1. Watakuja kabla ya Disemba.

HIVI WAKUU HAWA WABUNGE NA MADIWANI HAMAHAMA WANAVUTWA NA ULIMBO GANI AISEEE???
AU NDO VIWANDA TULIVYOAHIDIWA??THIS IS TOO MUCH ASEE
Ndugu haya ni mapigo ya albadir..tulidhani adui yetu yupo nyumba ya pili tukawasha moto kwa kujiamini sasa unatumaliza..kama kuna dua ya kutengua tupo tayari tuchangie hata ngamia..
 
Viti maalumu havina biashara, havilipi mtavipeleka wapi,kwani wanapigiwa kura wale?
Hawatakosa uDC .
Mwenyekiti wa CCM ana nafasi nyingi sana za uteuzi ndio maana anasema kuwa waende wote wenye kusumbuliwa na kulemewa na mizigo ili wakapumzike.

Ni bora ukawe mtumwa was CCM kuliko
Kuwa mtumwa wa Mbowe asiyeijua hata kesho yake Mwenyewe.

Kama Mwenyekiti haonyeshi demokrasia kwa vitendo anataka nani apiganie demokrasia.
Kama yeye mwenyewe hawezi kujitoa muhanga na kujiuzulu kwa mustakabali mwema wa Chama nani atathubutu tena kujiingiza kwenye matatizo na makesi ya kijinga kwa sababu ya chama cha mtu binafsi.
Yani watu waishi kwa mashaka kwa sababu ya Chana cha ukoo wa MTU mmoja.
Sio Muda mrefu natabiri Mbowe atabaki na wabunge wale aliokua amekabidhiwa chama wakiwepo tofauti kubwa ni kwamba watakaobaki ni vilaza kwani wakati anapewa chama palikua na vichwa kama Dr.Slaa na Marehemu Ndesamburo.

Kwa nia njema narudia tena Mbowe jiuzulu ili Wanaotoka wakose wimbo wa kuimba. Na pia avute macho na masikio ya dunia yaelekee Chadema kuiona Chadema mpya ikizaliwa.

Ni Bora Mashinji ,Mwalimu, Msigwa au Mmojawapo kati ya wenyeviti wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini au yule wa Kanda ya magharibi wakapewa uongozi wa chama.

Kuna watu wachache sana wanaendelea kumpa Mbowe kiburi kuwa wanaoondoka waache waondoke kwa kuwa wananunuliwa na Mbowe hana mbadala wake. Hawa ni wanufaika wa Mbinu chafu za kuua upinzani nchini. Ni miongoni mwa makada wa CCM waliokua wamepandikizwa ndani ya vyama vya upinzani na kupewa uenyekiti wa kudumu ; Mbowe akiwa mmojawapo na wengine ni Lipumba, Mrema, Cheyo, Mbatia na Makame Rashidi.
Hawa bila kuachia ngazi au kufukuzwa kwenye hivyo vyama ,kamwe vyama hivyo havitakuja kufikia maelengo ya kuingia madarakani.
 
Hii ni classic disinformation au kwa lugha za siku hizi "gaslighting". Watu wana float madai kuwa kuna watu wanao tarajiwa kuhama bila uthibitisho ( nashangaa safari hii wa Iringa hayumo) halafu wanawaangalia watu wanavyojichanachana wakinyoosheana vidole. Kwa bahati mbaya, jamaa kila wakati wanaingia kwenye mtego.

Amandla.........
 
Baadhi ya hawa wanao hama ni opportunists. Wao wanachotaka ni cheo na si kingine. Walihamia CDM kwa sababu kwa wakati ule hawakuona nafasi ya kupata cheo walichotaka walikokuwepo. Wanahama sasa kwa sababu wanaona uwezekano wa kubaki na cheo chao kama mpinzani ni finyu. Ili waweze kujihakikishia kuwa wanarudi tena katika nafasi hii mwaka 2020 inabidi waonyeshe kuwa kweli walikosea kwenda kule walikokwenda na hii inahitaji muda. Njia mojawapo ni kugeuka adui mkubwa wa upinzani ulio tishio. Mimi ningewashauri kuwa badala ya kuelekeza nguvu kwenye kuvua nguo chama walichotaka, waweke juhudi kwenye kutekeleza sera ya chama walichohamia ili kuwaonyesha wananchi kuwa kweli nia yao ilikuwa ni kuboresha maisha ya wananchi hao na sio ubinafsi na upenda madaraka.

Amandla.........
 
View attachment 890013

Mjumbe wa Kamati ya Itikadi na Uenezi Mkoa wa Dar es Salaam, Frey Edward Cosseny, amewarusha tena roho juu wafuasi wa Vyama vya Upinzani baada ya kudai kuwa, kuna Wabunge wengine sita wanafuata baada ya Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya (CHADEMA) kujiunga na CCM.
Frey Cosseny amedai kuwa, Wabunge watakaojiunga na CCM kutokea CHADEMA ni wanatokea Mikoa ifuatvyo:
Mkoa wa Kilimanjaro - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Dar es Salaam - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Manyara - Mbunge mmoja (01),
Mkoa wa Mara - Mbunge mmoja (01).

Huo ndio uchumi wa viwanda! We are extremely good at underdeveloping!

Haya Wazee wenzangu wa mapovu camp, naomba tutiririke hapa kubashiri Wabunge hao walio mbioni.
Kwa Mkoa wa Mara nahisi Ester Matiko (Tarime Mjini) hatasalimika na hizi radar za CCM. Utakuwa ni usajili mzuri.
Tutaje wa Mikoa mingine.
 
Fungu la usajili bado halijaisha tu...
 
Naona chama kubwa wamesha-order bidhaa zao, kufikia December zitakuwa zimewasili. Ama kweli bishara ni kipaji.
 
Ni upepo utapita tu, ingawa tumeweka historia mpya duniani - sidhani kama kuna nchi hapa duniani imeshawahi kufikia kiwango hiki cha juu kabisa cha utapeli wa haki kwa visingizio duni.
 
Watanzania gani hao unaowasema ndugu? Wao hawana makuu kabisa na mambo ya kisiasa, ndiyo maana inakuwa rahisi kwao kumpigia tena kura Mbunge/Diwani aliyejivua nyadhifa zake halafu anashinda tena kwenye Chama alichohamia, kwa walioendelea kamwe haushindi.
So, naona hapa CCM wametumia ajili kubwa sana kwani itachukua muda tena Upinzani hasa CHADEMA kuwa-groome at a shortest possible time, Makada wazuri wa kushindana na CCM.

Mkuu tusahihishane. Sio watanzania wote wanwapigia kura hawa watu ili warudina wala hawashirikishwi kwenye hayo maamuzi. Wanaowarudisha wanaogopa hata kura za maonindani ya chama chao wakiogopawatashindwa. Kuna kakundikadogo tu kanakoamuana makada kutekeleza wakisubiria peremende. Kasi inaongezeka sana baada ya demo. Leo tumeambiwa muasisi wa manunuzi.Yajayo yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom