Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni
Nilimwona Star Tv mwaka jana yuko vizuri. Niliposikia kateuliwa mjumbe Bunge la Katiba sikushangaa.Wangepatikana akina mama kama huyu 30 tuu ndani ya bunge tungekuwa mbali sana Mwenye profle yake ailete Elimu yake na vinginevyo.
Niliwahi kumuona kigoma huyu binti akifanya shuguli zake za uhandishi wa habari.
Nilimpenda huyu binti punde tu baada ya kumuona. Nampenda sana maria maria maria.
Nitakutumia PM unitajie, kwa PM utakuwa hujavunja kanuni!, ila kama ni mwana jf, nadhani stakuwa ndiye WOS! au.... au....Ni Member Mwenzetu JF pia.Aisee nisije nikaingia kwenye mtego wa kuvunja kanuni.Simtajiii....!
Kwa hiyo ni mjaluo! Teh! Teh! Teh!
Ni binti mkubwa wa Prof. Sarungi!. Nilisoma naye Primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Ana Diploma ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco
==>> Yap....kaolewa na jamaa mmoja Mwiraqw...na Wairaqw walivyo kama waraabu/wasomali fulani hivi they matched with her 100%.....
Alaaa
kumbe mama yake mzungu? nilidhani mwarabu.....au mhindi.....mama yake Mzungu wa wapi?
je ni cabinet material kwa mnaosema atachukua jimbo 2015?
Kwa hiyo ni mjaluo! Teh! Teh! Teh!
Name calling hiyo PascoNitakutumia PM unitajie, kwa PM utakuwa hujavunja kanuni!, ila kama ni mwana jf, nadhani stakuwa ndiye WOS! au.... au....
Pasco.
Mama yake ni wa Kutoka Hungary . sijui kwa sas ainaitwaje hiyo nchi kama ilibadilika.
Ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni