Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Safi sana Maria Philemon Sarungi!!! Ni mtoto wa Professor Sugeon wa mifupa Philemon Sarungi ambaye aliingia katika siasa baadaye. She was very bright tangu alipokuwa anasoma sikumbuki kam ani Jangwani au Zanaki. Na akiwa shuleni akikuwa pia anafanya masuala ya environmental conservation. She was a very God fearing lady with manners kwa kweli. Hukuweza kutambua kama alikuwa amezaliwa na mama mzungu. She is smart.
 
Wangepatikana akina mama kama huyu 30 tuu ndani ya bunge tungekuwa mbali sana

Mwenye profle yake ailete

Elimu yake na vinginevyo.

Ni binti wa Prof. Sarungi!. Namfananisha na binti mmoja, Stephania niliyesoma naye primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Nadhani ana 1st degree ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco
 
Last edited by a moderator:
Ana hoja nzuri sana ambazo amaezipanga vizuri na kuzielezea kwa ufasaha mzuri.
 
Ni binti mkubwa wa Prof. Sarungi!. Nilisoma naye Primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Ana Diploma ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco

==>> Yap....kaolewa na jamaa mmoja Mwiraqw...na Wairaqw walivyo kama waraabu/wasomali fulani hivi they matched with her 100%.....
 
Alaaa

kumbe mama yake mzungu? nilidhani mwarabu.....au mhindi.....mama yake Mzungu wa wapi?

je ni cabinet material kwa mnaosema atachukua jimbo 2015?
 
ananikera muda mwingi yuko busy na simu ana twitii vitu
 
Ni binti mkubwa wa Prof. Sarungi!. Nilisoma naye Primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Ana Diploma ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco

Ni Member Mwenzetu JF pia.Aisee nisije nikaingia kwenye mtego wa kuvunja kanuni.Simtajiii....!
 
Aliwahi kuwa head girl Zanaki secondary school miaka hiyo ya early 90s alikuwa mzuri kichwani.

Kweli kabisa, nilipata taarifa hizi kupitia ndugu yangu wa karibu alisomanaye. A student!
 
Ni binti mkubwa wa Prof. Sarungi!. Nilisoma naye Primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Ana Diploma ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco

Kwa hiyo ni mjaluo! Teh! Teh! Teh!
 
Ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni
 
Ni mzalendo wa kweli, huyu kweli kaenda kutengeneza katiba ya watanzania na si kuchakachua maoni ya watanzania! Allah mwongoze vema mja wako!
 
Back
Top Bottom