TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
tuli kabisa mkuuMji umetulia sasa!
Hadi kuna kiziwi kaniuliza mbona Leo hasikii keleleMji umetulia sasa!
Wapumzishe mkuušš
Walivochukua ubingwa wa EPL kulitokea pollution mbaya sana mitandaoni.Hadi kuna kiziwi kaniuliza mbona Leo hasikii kelele
Aiseee hii hatariššHadi kuna kiziwi kaniuliza mbona Leo hasikii kelele
Walijagamba sana na matusi juuššWalivochukua ubingwa wa EPL kulitokea pollution mbaya sana mitandaoni.
Ndio maana tumefurahi sanaaa mkuuu.šššššWameharibu shughuli eti tamasha kila kitu siasa siasa tu. Yaani usikute hao ndio wameroga Arsenal asishinde. Qmmk
Nilivosikia mwanzo kucheki game nikasema unyama nimajumuike. Nakuja kuambiwa kuna wanasiasa wanaenda. Nikasema never.Ndio maana tumefurahi sanaaa mkuuu.ššššš
Yah mmejitahidi sana EPL.Nilivosikia mwanzo kucheki game nikasema unyama nimajumuike. Nakuja kuambiwa kuna wanasiasa wanaenda. Nikasema never.
Tokea mechi ya kwanza naangalia kibanda umiza, ya nini fainali niwakatae wanangu wa mtaa.
Yote kheri, ila msimu mzuri kwetu huu. Hope mwakani tutakua better.