Mkafanya hadi tamasha, hio yote kushuhudia mpira wenu wa kupaki basi😁

Mkafanya hadi tamasha, hio yote kushuhudia mpira wenu wa kupaki basi😁

Kamateni Madee mumgonge kwanza... Kawatia Nuksi.
Bora kujumuika na mashabiki wa Kenya sio hawa.
IMG_8864.jpeg
IMG_8865.jpeg
 
Yah mmejitahidi sana EPL.

Ila pia namshangaa sana arteta alikuwa ana nafasi ya kucheza free flowing football, ila aka proritize low block, amekuja kshtuka muda umeenda sanaa.
Angekufa nyingi jomba. Mimi kwenye kumuweka Timber benchi ndio sikumuelewa,penati ilitokea upande wa Mosquera alizidiwa speed
 
Back
Top Bottom