Mkafanya hadi tamasha, hio yote kushuhudia mpira wenu wa kupaki basi😁

Ndio maana tumefurahi sanaaa mkuuu.😁😁😁😁😁
Nilivosikia mwanzo kucheki game nikasema unyama nimajumuike. Nakuja kuambiwa kuna wanasiasa wanaenda. Nikasema never.

Tokea mechi ya kwanza naangalia kibanda umiza, ya nini fainali niwakatae wanangu wa mtaa.

Yote kheri, ila msimu mzuri kwetu huu. Hope mwakani tutakua better.
 
Yah mmejitahidi sana EPL.

Ila pia namshangaa sana arteta alikuwa ana nafasi ya kucheza free flowing football, ila aka proritize low block, amekuja kshtuka muda umeenda sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…