Mkaka atupiwa vinguo vyake nje na aliekuwa mchumba wake

Mkaka atupiwa vinguo vyake nje na aliekuwa mchumba wake

Yani unakuwa marioo halafu bado unachepuka seriously?
Kuchepuka ni hulka ya mtu sio situationship ya muhusika.

Kwa iyo mnachukua Marioo kuepuka mwanaume anayechepuka?🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20240302_205113_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20240302_205113_WhatsAppBusiness.jpg
    183.1 KB · Views: 1
It's okay kumlea mwanaume asiye na kazi, ukaendelea kumheshimu bila kumshusha hadhi...

Mbona sisi tunalea wanawake wamekata ringi na mtaani hatutangazi?

Mascular Feminist: Dizasta
 
uyo dada namuunga mkono,,coz yashankuta aseee naenda kazin mwenzangu nyuma anaingiza wanawake,tena kwenye nyumba yangu na kitanda changu😂😂 wanaume 🙌🏾🙌🏾
 
Kwa namna uzi ulivyo, username ya mleta uzi ilivyo na reply za mleta uzi zilivyo nashindwa kuelewa, mleta uzi ni mwanaume au mwanamke??? 🙄
 
Kwa mwanamke unapaswa kuhamia na bokx 3 vesti 2, tishet 2 na trauza 3 basi usiongez apo chochote,
 
uyo dada namuunga mkono,,coz yashankuta aseee naenda kazin mwenzangu nyuma anaingiza wanawake,tena kwenye nyumba yangu na kitanda changu😂😂 wanaume 🙌🏾🙌🏾
Enheee ikawaje ukafuga mtu asiye na shukrani . ni napenda muendelezo bhana..

Sema kila mtu akisimamia majukumu yake haya mambo yangetoweka

,sikuhzi kuna vijana wanaojiita wa hovyo wanataka kamserereko, Dah , ni kuwaombea wabadilike na kujituma.
Enzi za kale haya mambo hayakuwepo..
 
Back
Top Bottom