Mkaka atupiwa vinguo vyake nje na aliekuwa mchumba wake

Tatizo mapunga mmekuwa wengi sana now days humu Jf.
Punga lazima amjue punga mwenzake 😂 we utakua kiongozi wa mapunga. Salamaleko kiongozi la mapunga a.k.a pungas 😂😂
 
Kaka zangu mkiwa mnalelewa kuweni wapole. Ukileta ujuaji yatakukuta kama ya huyu kaka kwenye video. Unalelewa halafu bado unacheat?

View attachment 2969868
View attachment 2969871
Kwenye kikao tuliambiwa kuwa mwanaume mwenye fedha anaweza akaishi na mwanamke asiye na kitu kwa maisha yao yote, lakini mwanamke mwenye pesa kuishi na mwanaume asiye na kitu, wiki ni kubwa sana kuimaliza wakiwa pamoja..!!
 
Ujumbe ni muhimu, kuliko dosari ndogo kama hiyo,

Halafu sinaga kawaida ya kubishana na MATAHIRA, kwa heri.
Huna cha kubishana cos huna hoja unaleta viroja. Kwaheri nenda mwana kwenda kabishane na walugaluga wenzio
 
Sasa hii mada iliyojaa utoto hivi nayo inahitaji hoja???? au kujiandikia tu????

Kuna madini gani kwenye huu uzi wako ambayo naweza sema yes nimesoma na nimetoka na kitu????
 
Anatupa virago naondoka narudi na bmw new model na tto kaliii anaziokota anaweka ktk buti tunaondoka
 
Kwa mwanamke unapaswa kuhamia na bokx 3 vesti 2, tishet 2 na trauza 3 basi usiongez apo chochote,
Mkuu na mimi nusra yanikute ila kwakuwa mimi nime lelewa na wazazi waliokamilika yani full package, nilkuwaga na lishangazi sasa likaniambia niamie kwake tuishi pamoja sasa mimi sikuzoe kuishi kwa mtu wala kwa ndugu ya mimi nimezoea kuisho nyumbani kwetu kwa wazazi wangu na kuishi kwangu mimi yani najilipia kodi, sasa nikaenda kuishi kwa lishangazi nikawa sina Amani na kosa kujiamini na nikakosa uhuru baada ya siku tatu tu ikabidi nitafute chimba change nikalipia kodi na kununua vitu vya ndani, sasa lishangazi likaja kupaona ninapo ishi kumbe hakupenda mimi kupanga chumba changu alitaka nikaishi kwake, baada ya wiki moja tu likaniasha. Mpaka sasa linanichikia na lika ni block, kiukweli kuishi sehemu ambayo siyo kwako au siyo nyumbani kwenu unakuwa mnyonge na unakosa uhuru na furaha.
 
Sasa hii mada iliyojaa utoto hivi nayo inahitaji hoja???? au kujiandikia tu????

Kuna madini gani kwenye huu uzi wako ambayo naweza sema yes nimesoma na nimetoka na kitu????
Kama imejaa utoto unafanya nini apa nenda kwa wakubwa wenzio au na wewe mtoto? Mfyuuu
 
Hela ya mwanamke haijawai kuwa tamu, huwaga na waonea huruma Marioo wa mjini,siku hizi wapo wengi.
 
Mkuu na mimi nusra yanikute ila kwakuwa mimi nime lelewa na wazazi waliokamilika yani full package, nilkuwaga na lishangazi sasa likaniambia niamie kwake tuishi pamoja sasa mimi sikuzoe kuishi kwa mtu wala kwa ndugu ya mimi nimezoea kuisho nyumbani kwetu kwa wazazi wangu na kuishi kwangu mimi yani najilipia kodi, sasa nikaenda kuishi kwa lishangazi nikawa sina Amani na kosa kujiamini na nikakosa uhuru baada ya siku tatu tu ikabidi nitafute chimba change nikalipia kodi na kununua vitu vya ndani, sasa lishangazi likaja kupaona ninapo ishi kumbe hakupenda mimi kupanga chumba changu alitaka nikaishi kwake, baada ya wiki moja tu likaniasha. Mpaka sasa linanichikia na lika ni block, kiukweli kuishi sehemu ambayo siyo kwako au siyo nyumbani kwenu unakuwa mnyonge na unakosa uhuru na furaha.
Uliona mbali mapema
 
Back
Top Bottom