Mkaka atupiwa vinguo vyake nje na aliekuwa mchumba wake

Mkaka atupiwa vinguo vyake nje na aliekuwa mchumba wake

Mie Mpenz wangu nimempangia sehem ya kukaa.. ila kila nikienda aisee sipo comfortable ingawa nalipa mimi Kodi.. sasa inakuwaje mtu unahamia kwa Mwanamke na mabegi ya nguo etc.. aisee kuna watu wana mioyo migumu.
 
 
Ata usipo cheat ila kama utabadili majumu ya mwanaume akafanya mwanamke na ya mwanamke akafanya mwanaume jua kuna possibility kubwa ya mwanaume kuja kupata aibu
Ni sahihi mkuu. Siku zote katika maisha Mungu namwomba anilinde akili yangu isije ikaja kulaghaiwa na vijisent vya mwanamke nimtegemee. Kanuni Yangu kuu ni kwamba Nitabsupply mahitaji ya familia na ya kwake as my woman and she needs to be submissive and respectful, that's all I need from her. Kulelewa na mwanamke ni kwa muda tu cuz hawajaumbwa kumlea au kumhudumia mwanaume.
 
Mie Mpenz wangu nimempangia sehem ya kukaa.. ila kila nikienda aisee sipo comfortable ingawa nalipa mimi Kodi.. sasa inakuwaje mtu unahamia kwa Mwanamke na mabegi ya nguo etc.. aisee kuna watu wana mioyo migumu.
Wanaume tunadhakilishwa na vitoto vinavyotaka kuolewa na wanawake..Mungu principle zake smart sana, na watatupuwa virago mpaka akili ziwakae sawasawa.
 
It's okay kumlea mwanaume asiye na kazi, ukaendelea kumheshimu bila kumshusha hadhi...

Mbona sisi tunalea wanawake wamekata ringi na mtaani hatutangazi?

Mascular Feminist: Dizasta
Mwanaume hajaumbwa kulelewa fanyeni kazi
 
uyo dada namuunga mkono,,coz yashankuta aseee naenda kazin mwenzangu nyuma anaingiza wanawake,tena kwenye nyumba yangu na kitanda changu😂😂 wanaume 🙌🏾🙌🏾
Ulimtupia kibegi chake nje? 🤣
 
Ukishindwa kuelewa potezea sio lazima uelewe
Kwa namna uzi ulivyo, username ya mleta uzi ilivyo na reply za mleta uzi zilivyo nashindwa kuelewa, mleta uzi ni mwanaume au mwanamke??? 🙄
 
Kwahy ww binti umeamua kabisa kumuwekea na ngoma la reggae acheze nalo huku anaokota nguo zake..?
 
  • Zama hizi kuna wavulana wa hivyo kweli.
  • Wanawake ni wanyanyasaji, hasa wakipewa nafasi ya kuamua
 
Sawa umemtupia nje nguo zake lakini kumrekodi kabisa that was something else nadhani hata huyo mwanaume hamstahili huyo mwanamke. Lakini nakuhakikishia kesho wanarudiana hao tena mwanamke ndio ataomba msamaha. Mapenzi yaacheni yaitwe mapenzi.
Hilo nalo neno!
 
Enheee ikawaje ukafuga mtu asiye na shukrani . ni napenda muendelezo bhana..

Sema kila mtu akisimamia majukumu yake haya mambo yangetoweka

,sikuhzi kuna vijana wanaojiita wa hovyo wanataka kamserereko, Dah , ni kuwaombea wabadilike na kujituma.
Enzi za kale haya mambo hayakuwepo..
aloooh ilibidi nimpe nauli aende kwao tu sasa sikutaka shida kabisa
 
Back
Top Bottom