Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
kuna wanaotafuta na kua navyo lakini bado wanalelewa.Na kwanini ulelewe hali ya kuwa una nguvu za kutafuta chako?
Ni sahihi mkuu. Siku zote katika maisha Mungu namwomba anilinde akili yangu isije ikaja kulaghaiwa na vijisent vya mwanamke nimtegemee. Kanuni Yangu kuu ni kwamba Nitabsupply mahitaji ya familia na ya kwake as my woman and she needs to be submissive and respectful, that's all I need from her. Kulelewa na mwanamke ni kwa muda tu cuz hawajaumbwa kumlea au kumhudumia mwanaume.Ata usipo cheat ila kama utabadili majumu ya mwanaume akafanya mwanamke na ya mwanamke akafanya mwanaume jua kuna possibility kubwa ya mwanaume kuja kupata aibu
Wanaume tunadhakilishwa na vitoto vinavyotaka kuolewa na wanawake..Mungu principle zake smart sana, na watatupuwa virago mpaka akili ziwakae sawasawa.Mie Mpenz wangu nimempangia sehem ya kukaa.. ila kila nikienda aisee sipo comfortable ingawa nalipa mimi Kodi.. sasa inakuwaje mtu unahamia kwa Mwanamke na mabegi ya nguo etc.. aisee kuna watu wana mioyo migumu.
Nimefurahi kwa kiasi fulani ndio 😂We sema tu umefurahia
Na uone raha siku ukitupiwa vitu nje piaRaha sana kukojolea penye Joto
Mwanaume hajaumbwa kulelewa fanyeni kaziIt's okay kumlea mwanaume asiye na kazi, ukaendelea kumheshimu bila kumshusha hadhi...
Mbona sisi tunalea wanawake wamekata ringi na mtaani hatutangazi?
Mascular Feminist: Dizasta
Ulimtupia kibegi chake nje? 🤣uyo dada namuunga mkono,,coz yashankuta aseee naenda kazin mwenzangu nyuma anaingiza wanawake,tena kwenye nyumba yangu na kitanda changu😂😂 wanaume 🙌🏾🙌🏾
doh kitumbua kimeingia mchana walahi..!Kaka zangu mkiwa mnalelewa kuweni wapole. Ukileta ujuaji yatakukuta kama ya huyu kaka kwenye video. Unalelewa halafu bado unacheat?
View attachment 2969868
View attachment 2969871
Kwa namna uzi ulivyo, username ya mleta uzi ilivyo na reply za mleta uzi zilivyo nashindwa kuelewa, mleta uzi ni mwanaume au mwanamke??? 🙄
Kwa upande mwingine inafurahisha pia 😂Inasikitisha sana sana 😢😭😹😿
Hilo nalo neno!Sawa umemtupia nje nguo zake lakini kumrekodi kabisa that was something else nadhani hata huyo mwanaume hamstahili huyo mwanamke. Lakini nakuhakikishia kesho wanarudiana hao tena mwanamke ndio ataomba msamaha. Mapenzi yaacheni yaitwe mapenzi.
aloooh ilibidi nimpe nauli aende kwao tu sasa sikutaka shida kabisaEnheee ikawaje ukafuga mtu asiye na shukrani . ni napenda muendelezo bhana..
Sema kila mtu akisimamia majukumu yake haya mambo yangetoweka
,sikuhzi kuna vijana wanaojiita wa hovyo wanataka kamserereko, Dah , ni kuwaombea wabadilike na kujituma.
Enzi za kale haya mambo hayakuwepo..
🤣🤣m sikumtupia nilimtoa kwa amani zote na naul nkampa🙌🏾Ulimtupia kibegi chake nje? 🤣
Kweli ulimpenda kwa dhati , wanawake tukipenda bhana😋🤣🤣m sikumtupia nilimtoa kwa amani zote na naul nkampa🙌🏾