Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Hee jamani we kaka ni noma! Warembo wenyewe wanajileta kwako. Nyie ndio wale mnaoitwa Sukari ya Warembo?!
Wow yaani katika essay yangu yote ya maneno 1500 kitu muhimu kuliko vyote ulichonotice ni hicho tu?... Come on! I thought you were smart.
"Sukari ya Warembo?" what is that, a compliment?

Btw kote uko sahihi except mimi sio sukari ni more of a magnet.
but you're not so far from the truth, at least you tried.
 
Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
Nahisi hukumuelewa mwenzio,alikosea padogo lakini hukumuelewa,siku hizi wadada wengi wanathamini mtu mwenye kitu au position,unaweza muongelesha mtu mtaani akakupuuzia alafu siku akikukuta kwenye position yako au eneo lako la kazi ndio anakuona wa maana analeta ukaribu.

Nilichojifunza ni kwamba ukikutana na mdada kama ipo ndani ya uwezo play your best card,acha ajue wewe ni nani kama una hiyo karata,ili kupunguza uwezekano wa kukataliwa,vinginevyo play low kama una uhakika wa kuonana tena,ila huyo jama yako alizidisha sana.
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.

"Haina shida." Nikajibu.

"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
acha unafki wewe, halipendwi jitu, zinapendwa pesa. Wewe ni mnafki mkubwa.
 
Wow yaani katika essay yangu yote ya maneno 1500 kitu muhimu kuliko vyote ulichonotice ni hicho tu?... Come on! I thought you were smart.
"Sukari ya Warembo?" what is that, a compliment?

Btw kote uko sahihi except mimi sio sukari ni more of a magnet.
but you're not so far from the truth, at least you tried.
😂😂😂 Nice try too bwana Sumaku!
 
Nahisi hukumuelewa mwenzio,alikosea padogo lakini hukumuelewa,siku hizi wadada wengi wanathamini mtu mwenye kitu au position,unaweza muongelesha mtu mtaani akakupuuzia alafu siku akikukuta kwenye position yako au eneo lako la kazi ndio anakuona wa maana analeta ukaribu..Nilichojifunza ni kwamba ukikutana na mdada kama ipo ndani ya uwezo play your best card,acha ajue wewe ni nani kama una hiyo karata,ili kupunguza uwezekano wa kukataliwa,vinginevyo play low kama una uhakika wa kuonana tena,ila huyo jama yako alizidisha sana.
Una maoni mazuri. Lakini sifa kubwa ya wanaume wanaowavutia sana wadada ni "Kutojali". Ni kutojali ikiwa mwanamke unayemtaka, kumuomba namba, kuomba kutoka nae out au chochote atakubali au la. Ni Kutojali namna mwanamke anavyokuchukulia. Avoid seeking validation.

Kosa la James ni kuonesha uhitaji kupita kiasi. Alitakiwa asijali ikiwa ningemuona mtu wa maana au la. Kuanza kujivuna kwa mwanamke mgeni inaleta picha kuwa ndio tabia yako na mbinu ya kuwavutia wanawake. Hii inaweza kufanya kazi kwa wauzaji, wanawake wasiojiamini au washamba.

Kwa wanawake wengine kadri ulivyo mhitaji ndivyo unavyoshusha thamani yako. Kwa mfano unamuomba namba mdada akasema 'Hapana' using'ang'anie wala kusisitiza. Ukifanya hivyo unaonekana mhitaji sana na akili ya mwanamke inazidi kukukataa.

Wanaume wahitaji sana na ving'ang'nizi huwa hawana thamani. Ni ishara kuwa hawana kazi za kuwaweka busy, hawana wanawake wazuri wanaowapenda, hawana chochote cha maana na ndio maana wanatumia nguvu kulazimisha ukaribu. Akili ya mwanamke haivutiwi na watu wanaoonesha uhitaji kupita kiasi.

Unakuta mtu amekubaliana kutoka out na mdada halafu mdada akabadili mawazo dakika ya mwisho kabisa. Mtu anaanza kubembeleza, kupiga simu zisizopokelewa, kuahidi zawadi na mengine. Thamani yako inashuka, utu wako unashuka na mwanamke unazidi kumpoteza.

Kwa hadhi ya James ni ajabu sana kuonesha kujali kiasi kile. Alitakiwa asalimie na kupiga stori nyingine kwa kujiamini. Kwa kweli pengine saa hizi tungekuwa tunazungumzia mengine.
 
Wale mnaoona tatizo la James hongereni. Wale mnaoumia kihisia kwa kujivisha viatu vya James poleni na mnisamehe. Lengo sio kuwaumiza. Lengo ni kuwafumbua macho.

Siku zote ukumbuke kuwa kuna wanaume wana kipato kama chako au kidogo zaidi, sura kama yako au mbaya zaidi, urefu kama wako au chini ya hapo na bado wanawavutia wanawake ambao wewe unahangaika kupata ukaribu wao.

Nadhani leo inabidi nilete na uzi wa Nassoro. Yeye hakuleta swaga za James lakini alifanya makosa mengine. Nitamleta kwenye kamati tumjadili.
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.

"Haina shida." Nikajibu.

"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.

Nikamjibu "Nimeagiza chakula. Ndio nakisubiri."

"Oh sawa. Vizuri tufahamiane. Me naitwa James, naishi (******). Nafanya kazi hapo (****) Bank kama branch manager. Nikufahamu na wewe please!"

"Naitwa Ederra. Naishi (******).". Nikajitambulisha.

Akaendelea na stori nyingine kwa dakika chache kisha akainuka na kusema angerudi pale punde. Baada ya dakika tatu akarudi.

"Nimerudi Ederra. Nilienda kuangalia gari yangu. Nilikuwa na wasiwasi kama nilikuwa nimepandisha vioo." Akasema huku akikaa tena kwenye kiti.

"Sawa. Karibu tena."

"Asante. Nilikuwa naogopa isije kunyesha mvua au watu wakaniibia KiBMW changu. Unajua gari yenyewe ni mpya nisije kupata hasara. Nilichoka kutembelea Harrier nikaona ninunue na hii"

"Yeah wasiwasi ndio akili." Nikamuunga mkono.

Chakula kikafika. Na yeye akaagiza. Nikawa naendelea kula huku nikisikiliza stori za magari yake, kazi yake nzuri, anapoishi na nyingine kama hizo mpaka nikamaliza kula.

Mhudumu alipokuja kuleta chakula cha jamaa nikamuomba bill.

"Acha tu nitalipa Ederra. Unalipaje wakati mimi niko hapa?" James akaingilia kati.

"Oh sawa. Nashukuru sana."

Nikamuaga kuwa naondoka. Akaniomba namba ya simu. Nikamwambia anipe yake ningemtafuta. Akanipa business card yake na kung'ang'ania nimpigie pale pale lakini nikamwambia asijali ningemtafuta tu. Nikaondoka.

Ile business card niliitupa kwenye dustbin baada ya kupotea kwenye upeo wa macho yake. Nisamehe James. Sio kwa ubaya.

Mwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?

Hii tabia haivutii. Meseji ya nje unayoileta kwa kufanya hivyo ni kuwa wewe ni mtu wa maana sana na mwenye mafanikio. Meseji hii ya nje sio inayoathiri mvuto wako kwenye akili ya mwanamke.

Meseji iliyojificha (ya ndani kabisa) ndio inayoathiri mvuto wako. Hiyo ni kwamba hujiamni na unadhani huna thamani wewe kama mwanaume na hivyo unalazimika kutumia vitu kama magari, kazi, mafinikio ili uonekane una thamani. Hakuna mwanamke anayejielewa anavutiwa na mwanaume wa hivi.

James asante kwa kunilipia chakula. Lakini wewe na wanaume wengine wenye akili kama zako badilikeni. Itawasaidia.

Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.

1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann

2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija

Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili. Usipovipata njoo nikutumie bure tu. Utachangia bando lakini.
Sijapenda ulivyokuja kunianika hapa.

Anyway licha ya kukulipia msosi lakini ulitupa business card yangu kwa dust bin 😭😭😭

Karucee nimetemwa huku
 
Mpaka hapo nimegundua roho inakuuma sana ulivyomkosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo nikisoma hvyo vitabu tayari wanapanua miguu wakiniona au vipi ... Kushikilia facts Kuna Muda NI Kama kuufanya fikra kuwa rigid
Watu hampendi kujichosha kabisa. Eti "wakikuona wanapanua miguu kabisa"[emoji23]
 
Back
Top Bottom